Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Kwani we ni Mungu? Una uhakika gani Mungu ana mtazamo kama wako juu ya hizo unazoita kelele?Nimesoma uzi mmoja wa Tycoon mmoja hapa Jf, anadai utafiti wake wa miaka 22 unaonesha Mungu wa walokole ndio ana nguvu kuliko Mungu anaeabudiwa na Madhehebu mengine.
Nimejaribu kuchunguza Mifumo wanayoitumia walokole wengi 100% katika ibada zao, maombi kiujumla huwa zimejaa KELELE nyingi sana (elewa maana ya KELELE wala sijadhihaki mtu)
Imefikia hatua wasipokua na UMEME basi ibada huwa inapoa sana MAKANISANI mwao.
Je, Bila KELELE nyingi MUNGU hawezi kuinuka na KUTETEA watu wake dhidi ya SHETANI?
Mkuu japo sio nguli sana wa haya mambo ila nna uhakika maandiko yameagiza utulivu wa Hali ya juu wakati wa maombi na ibada kwa ujumla hata tunaposali tunaagizwa jirani zetu wasisikie tukifunga ndio kabisaaa ni wewe na moyo wako utashangaa siku hizi inafikia mahala mpaka watu wanalazimishwa kujificha kula kisa Kuna watu wamefunga hii sio sawa na ni kinyume kabisa na maandiko itoshe kusema Mungu yupo na haitaji kabisa mbwembwe na unafiki wa mwanadamu.Namalaga uneneKwani we ni Mungu? Una uhakika gani Mungu ana mtazamo kama wako juu ya hizo unazoita kelele?
Je labda yeye haoni hicho unachoona wewe? Inawezekana kwako ni kelele kumbe kwake ni kawaida sana! Pengine kwake ni sauti ya chini kiasi hata hawasikii na anatamani hata waongeze sauti!
Zitakuwa kelele pale zinapokuwa si takatifu mbele zake! Kama ni za kinafiki hapo kweli ni kelele hata Kama wananena kimoyomoyo! Mawazo ya Mungu si sawa na mawazo ya mwanadamu! Wewe siyo Mungu, acha kumsemea Mungu!
Matendo ya dhambi ndiyo kero kwake! Lakini kelele za kumsifu, kumsujudu, kumuabudu nk hizo ndizo anazotaka! Maandiko matakatifu yanasema mfanyieni Bwana shangwe! Hizo mnazoita kelele haziwezi kumpasua Mungu sikio! Mungu si kama wewe!Hadi wampasue Sikio uzuri Mungu anajua kukabiliana na Kero.
Umesema vema sana kuwa wewe si nguli wa mambo hayo ya kiroho! Kimsingi hayupo aliye nguli!Mkuu japo sio nguli sana wa haya mambo ila nna uhakika maandiko yameagiza utulivu wa Hali ya juu wakati wa maombi na ibada kwa ujumla hata tunaposali tunaagizwa jirani zetu wasisikie tukifunga ndio kabisaaa ni wewe na moyo wako utashangaa siku hizi inafikia mahala mpaka watu wanalazimishwa kujificha kula kisa Kuna watu wamefunga hii sio sawa na ni kinyume kabisa na maandiko itoshe kusema Mungu yupo na haitaji kabisa mbwembwe na unafiki wa mwanadamu.Namalaga unene
Thread 'Sala, dua na maombezi ya kimya' Sala, dua na maombezi ya kimyaNimesoma uzi mmoja wa Tycoon mmoja hapa Jf, anadai utafiti wake wa miaka 22 unaonesha Mungu wa walokole ndio ana nguvu kuliko Mungu anaeabudiwa na Madhehebu mengine.
Nimejaribu kuchunguza Mifumo wanayoitumia walokole wengi 100% katika ibada zao, maombi kiujumla huwa zimejaa kelele nyingi sana (elewa maana ya kelele wala sijadhihaki mtu)
Imefikia hatua wasipokua na umeme basi ibada huwa inapoa sana makanisani mwao.
Je, Bila kelele nyingi MUNGU hawezi kuinuka na kutetea watu wake dhidi ya shetani?
Mungu wa walokole kiziwiNimesoma uzi mmoja wa Tycoon mmoja hapa Jf, anadai utafiti wake wa miaka 22 unaonesha Mungu wa walokole ndio ana nguvu kuliko Mungu anaeabudiwa na Madhehebu mengine.
Nimejaribu kuchunguza Mifumo wanayoitumia walokole wengi 100% katika ibada zao, maombi kiujumla huwa zimejaa kelele nyingi sana (elewa maana ya kelele wala sijadhihaki mtu)
Imefikia hatua wasipokua na umeme basi ibada huwa inapoa sana makanisani mwao.
Je, Bila kelele nyingi MUNGU hawezi kuinuka na kutetea watu wake dhidi ya shetani?
Nimesoma uzi mmoja wa Tycoon mmoja hapa Jf, anadai utafiti wake wa miaka 22 unaonesha Mungu wa walokole ndio ana nguvu kuliko Mungu anaeabudiwa na Madhehebu mengine.
Nimejaribu kuchunguza Mifumo wanayoitumia walokole wengi 100% katika ibada zao, maombi kiujumla huwa zimejaa kelele nyingi sana (elewa maana ya kelele wala sijadhihaki mtu)
Imefikia hatua wasipokua na umeme basi ibada huwa inapoa sana makanisani mwao.
Je, Bila kelele nyingi MUNGU hawezi kuinuka na kutetea watu wake dhidi ya shetani?
Twende pole pole mkuu. Ongea na reference ya maneno matakatifu.Kwani we ni Mungu? Una uhakika gani Mungu ana mtazamo kama wako juu ya hizo unazoita kelele?
Je labda yeye haoni hicho unachoona wewe? Inawezekana kwako ni kelele kumbe kwake ni kawaida sana! Pengine kwake ni sauti ya chini kiasi hata hawasikii na anatamani hata waongeze sauti!
Zitakuwa kelele pale zinapokuwa si takatifu mbele zake! Kama ni za kinafiki hapo kweli ni kelele hata Kama wananena kimoyomoyo! Mawazo ya Mungu si sawa na mawazo ya mwanadamu! Wewe siyo Mungu, acha kumsemea Mungu!
Kwanini umeanza kwa kuandika 'Mungu' kwa herufi kubwa?Mungu ni dhana ya kufikirika Hayupo.
Ulijifunza kanuni za uandishi shuleni kweli?Kwanini umeanza kwa kuandika 'Mungu' kwa herufi kubwa?
Kisichopo hakiwezi kusemwa popoteMungu ni dhana ya kufikirika Hayupo.