Hivi Musonye anastaafu Lini?

Hivi Musonye anastaafu Lini?

Kwa Jinsi Jamaa alivyowakalia kooni huenda hii ikawa habari nnzuri kwa Wanajangwani endapo watasikia siku Musonye amestaafu

ama badu, ukweli unabakia palepale kwamba huyu jamaa amekaa muda mrefu sana CECAFA tangu nipo form one Tambaza

Hivi hakuna Mtz/EA wa kushika nafasi hii?

Bora aendelee ili nidhamu ya soka iwepo labda viwango tz vitapanda baada ya kuundoa Uyanga na Usimba. Musonye go go go, Move Musonye tumechoka na ngonjera.
 
Sepp Blatter naye anastaafu lini?

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Blatter hana issue, Brazil waliingiza timu ya vijana hakuwaengua hadi walipocharazwa 7-1. Musonye angeiga mfano huo. Pengine hakuiga kwa vile Blatter ni President wakati Musonye ni Secretary General.
 
Kwa Jinsi Jamaa alivyowakalia kooni huenda hii ikawa habari nnzuri kwa Wanajangwani endapo watasikia siku Musonye amestaafu

ama badu, ukweli unabakia palepale kwamba huyu jamaa amekaa muda mrefu sana CECAFA tangu nipo form one Tambaza

Hivi hakuna Mtz/EA wa kushika nafasi hii?

Jamaa anatuua sana, hata mashabiki wa Simba wanatuhurumia.

Mtu yeyote anayeweza kuniletea kichwa cha Musonye afanye hivyo, atajipatia donge nono!
 
Wale wale jamii ya mikia fc, hivi unajua wenzio wanajadili kuhusu nini au ulijua hapa pana dibet sio!!!!! kata ya yanga na simba ipi timu bora?????????????

Tukuyu stars !!!!

Anyway once again Kosa la Musonye ni lipi ?
 
Kosa la musonye ni kuikataa timu ya yanga kushiriki kagame cup kwa kisingizio kuwa yanga wanapeleka timu B badala ya kupeleka timu A wakati Adama fc ya nchini Ethiopia inayoshiriki ligi daraja la pili kuruhusiwa kushirika katika mashindano ya klabu bingwa wa ligi kuu kwa nchi husika....
 
Je unafahamu timu inayoingiza mapato makubwa afrika mashariki ? ni Daresalaam Yanga Africans ,ndio maana hao jamaa hawana raha na kujitoa kwa yanga ,musoye yanga ilikuepo ,ipo na itakuepo milele .Yanga oyeeeeeeee.
Acha kupotosha. Ukisema Tanzania ina waingiaji wengi wa viwanjani kuliko members wengine wa CECAFA nitakukubalia, lakini katika hao Watanzania, pitia upya takwimu za mapato ya mechi alozocheza Yanga ulinganishe na mechi alizocheza Simba, utaona Simba ipo juu sana. Hata mechi baina yao, washabiki wa Yanga huwa hawaendi uwanjani. Sasa hayo mapato yanaingizwaje kwa wingi na Yanga? Sema Musonye alianza kuichukia na kuidharau Yanga toka ilipoikimbia Simba kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu mwaka 2008
 
Katibu huwa ni muajiriwa, acheni ushamba. Hata Mkwasa hakupigiwa kura Yanga, ameajiriwa. Uongozi unaofuata ukipenda utendaji wake unaendelea naye
 
Acha kupotosha. Ukisema Tanzania ina waingiaji wengi wa viwanjani kuliko members wengine wa CECAFA nitakukubalia, lakini katika hao Watanzania, pitia upya takwimu za mapato ya mechi alozocheza Yanga ulinganishe na mechi alizocheza Simba, utaona Simba ipo juu sana. Hata mechi baina yao, washabiki wa Yanga huwa hawaendi uwanjani. Sasa hayo mapato yanaingizwaje kwa wingi na Yanga? Sema Musonye alianza kuichukia na kuidharau Yanga toka ilipoikimbia Simba kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu mwaka 2008
Tupe TAKWIMU za miaka mitatu iliyopita ni timu gani imeongoza kwa mapato katika VPL?
 
Huyu jamaa amekuwa katibu wa kudumu pale cecafa anapaswa atujulishe uma wa jamii ya east afrika mafanikio gani yaliyopatikana katika uongozi wake
 
Je unafahamu timu inayoingiza mapato makubwa afrika mashariki ? ni Daresalaam Yanga Africans ,ndio maana hao jamaa hawana raha na kujitoa kwa yanga ,musoye yanga ilikuepo ,ipo na itakuepo milele .Yanga oyeeeeeeee.

Tupe TAKWIMU za miaka mitatu iliyopita ni timu gani imeongoza kwa mapato katika VPL?
upload_2018-6-8_8-48-9.png
 
Kwa Jinsi Jamaa alivyowakalia kooni huenda hii ikawa habari nnzuri kwa Wanajangwani endapo watasikia siku Musonye amestaafu

ama badu, ukweli unabakia palepale kwamba huyu jamaa amekaa muda mrefu sana CECAFA tangu nipo form one Tambaza

Hivi hakuna Mtz/EA wa kushika nafasi hii?

Watanzania wako bize kujipigia punyeto ukizingatia wengi wa hao viongozi ni wanaume wa Dar.
 
Back
Top Bottom