Kwa Jinsi Jamaa alivyowakalia kooni huenda hii ikawa habari nnzuri kwa Wanajangwani endapo watasikia siku Musonye amestaafu
ama badu, ukweli unabakia palepale kwamba huyu jamaa amekaa muda mrefu sana CECAFA tangu nipo form one Tambaza
Hivi hakuna Mtz/EA wa kushika nafasi hii?
Sepp Blatter naye anastaafu lini?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Kwa Jinsi Jamaa alivyowakalia kooni huenda hii ikawa habari nnzuri kwa Wanajangwani endapo watasikia siku Musonye amestaafu
ama badu, ukweli unabakia palepale kwamba huyu jamaa amekaa muda mrefu sana CECAFA tangu nipo form one Tambaza
Hivi hakuna Mtz/EA wa kushika nafasi hii?
Wale wale jamii ya mikia fc, hivi unajua wenzio wanajadili kuhusu nini au ulijua hapa pana dibet sio!!!!! kata ya yanga na simba ipi timu bora?????????????
Tukuyu stars !!!!
Anyway once again Kosa la Musonye ni lipi ?
Kosa la musonye ni kuikataa timu ya yanga kushiriki kagame cup kwa kisingizio kuwa yanga wanapeleka timu B badala ya kupeleka timu A wakati Adama fc ya nchini Ethiopia inayoshiriki ligi daraja la pili kuruhusiwa kushirika katika mashindano ya klabu bingwa wa ligi kuu kwa nchi husika....Tukuyu stars !!!!
Anyway once again Kosa la Musonye ni lipi ?
mtanii umepoteaJamaa anatuua sana, hata mashabiki wa Simba wanatuhurumia.
Mtu yeyote anayeweza kuniletea kichwa cha Musonye afanye hivyo, atajipatia donge nono!
Katibu wa kudumu wa CECAFAMusonye miaka nenda miaka rudi yeye ndio Katibu Mkuu wa Cecafa.
Acha kupotosha. Ukisema Tanzania ina waingiaji wengi wa viwanjani kuliko members wengine wa CECAFA nitakukubalia, lakini katika hao Watanzania, pitia upya takwimu za mapato ya mechi alozocheza Yanga ulinganishe na mechi alizocheza Simba, utaona Simba ipo juu sana. Hata mechi baina yao, washabiki wa Yanga huwa hawaendi uwanjani. Sasa hayo mapato yanaingizwaje kwa wingi na Yanga? Sema Musonye alianza kuichukia na kuidharau Yanga toka ilipoikimbia Simba kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu mwaka 2008Je unafahamu timu inayoingiza mapato makubwa afrika mashariki ? ni Daresalaam Yanga Africans ,ndio maana hao jamaa hawana raha na kujitoa kwa yanga ,musoye yanga ilikuepo ,ipo na itakuepo milele .Yanga oyeeeeeeee.
Tupe TAKWIMU za miaka mitatu iliyopita ni timu gani imeongoza kwa mapato katika VPL?Acha kupotosha. Ukisema Tanzania ina waingiaji wengi wa viwanjani kuliko members wengine wa CECAFA nitakukubalia, lakini katika hao Watanzania, pitia upya takwimu za mapato ya mechi alozocheza Yanga ulinganishe na mechi alizocheza Simba, utaona Simba ipo juu sana. Hata mechi baina yao, washabiki wa Yanga huwa hawaendi uwanjani. Sasa hayo mapato yanaingizwaje kwa wingi na Yanga? Sema Musonye alianza kuichukia na kuidharau Yanga toka ilipoikimbia Simba kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu mwaka 2008
Mwambie aliyesema Yanga inaingiza mapato mengi ndio akupe takwimuTupe TAKWIMU za miaka mitatu iliyopita ni timu gani imeongoza kwa mapato katika VPL?
Je unafahamu timu inayoingiza mapato makubwa afrika mashariki ? ni Daresalaam Yanga Africans ,ndio maana hao jamaa hawana raha na kujitoa kwa yanga ,musoye yanga ilikuepo ,ipo na itakuepo milele .Yanga oyeeeeeeee.
Tupe TAKWIMU za miaka mitatu iliyopita ni timu gani imeongoza kwa mapato katika VPL?
Kwa Jinsi Jamaa alivyowakalia kooni huenda hii ikawa habari nnzuri kwa Wanajangwani endapo watasikia siku Musonye amestaafu
ama badu, ukweli unabakia palepale kwamba huyu jamaa amekaa muda mrefu sana CECAFA tangu nipo form one Tambaza
Hivi hakuna Mtz/EA wa kushika nafasi hii?
Jibu swali miaka mitatu iliyopita toa team gani imeongoza kwa mapato katika mechi za VPL?