Takwimu nilizo nazo ni hizo. Wewe unayedai vinginevyo, uweke zako. Wewe unampeleka mtuhumiwa mahakamani, halafu unataka eti yeye ndio alete ushahidi, kuna akili hapo?
Kwani Queen Elizabeth II wa UK anastaafu lini?? Na yule kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani nchini mwetu anastaafu lini? Na yule wa chama fulani kuloe Zanzibar ambye amekuwa akigombea urais kule tangu 1995 anastaafu lini???