The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Ambae hajaelewa nibonyeza nyota halafu reli
Hao ni maandazi, unataka sisiemu iposti ndoo za maandazi?Hivi mbona viongozi wa kiislamu hawana kasi kubwa ya hizi shobo za uchawa kama wakristu
Hata Katoliki kila Askofu ana mamlaka yake. Na anaripoti directly kwa Papa.GT
Pesa ni hatari sana. Ndo maana hata kwenye bibilia pesa imeandikwa kumsaliti yesu. Viongozi wenye njaa wanaenda kulitumbukiza taifa hili katika matatizo Makubwa sana.
Wale wa wa upande ule ambao walikatazwa kuwa na familia nadhani waliona mbali sana maana kuepuka maslahi binafsi ni kazi ngumu sana una watoto wanadai karo afu kuna pesa ya CCM inakufuataa kwa nini usichukue ah ahahah
Ndo maana wale jamaaa wenye wake wanne kila kitu yes yes tu maana matatizo ya familia yapo shingoni bora pesa kuliko uhai wa Mdude 😄 😀
View attachment 3360925
Huko ndio wamevuka kbsa Ile level ya uchawa saivi wanamwabudu kabsa.Hivi mbona viongozi wa kiislamu hawana kasi kubwa ya hizi shobo za uchawa kama wakristu
Siyo kweli cardinal ana kazi ganHata Katoliki kila Askofu ana mamlaka yake. Na anariooti directly kwa Papa.
Mkuu kila jimbo KKKT linakua na utawala wake kamili wa kujirndesha bila kuingiliwa na makao makuuGT
Pesa ni hatari sana. Ndo maana hata kwenye bibilia pesa imeandikwa kumsaliti yesu. Viongozi wenye njaa wanaenda kulitumbukiza taifa hili katika matatizo Makubwa sana.
Wale wa wa upande ule ambao walikatazwa kuwa na familia nadhani waliona mbali sana maana kuepuka maslahi binafsi ni kazi ngumu sana una watoto wanadai karo afu kuna pesa ya CCM inakufuataa kwa nini usichukue ah ahahah
Ndo maana wale jamaaa wenye wake wanne kila kitu yes yes tu maana matatizo ya familia yapo shingoni bora pesa kuliko uhai wa Mdude 😄 😀
View attachment 3360925
KKKT wanajipendekeza kwa Sa100 hadi aibuGT

Kadinari ni mpiga kura tu, wa Vatican.Siyo kweli cardinal ana kazi gan
Kardinali siyo kiongozi ila ni sifa ya kuwa Raia wa Vatican na kuingia kwenye kundi la wanoweza kumchagua Papa au kuchaguliwa kuwa Papa. Akirudi hapa nchini anabaki na cheo chake cha kawaida aidha Upadri au Uaskofu. Kila Askofu wa RC ana mamlaka kamili katika jimbo lake na anateuliwa na kuwajibika moja kwa moja kwa Papa.Siyo kweli cardinal ana kazi gan
Du basi kama ni hivyo sawa. Ndo maana wamemeguka kama cakeMkuu kila jimbo KKKT linakua na utawala wake kamili wa kujirndesha bila kuingiliwa na makao makuu
Makao makuu wanatoa miongozo ya kiibada tu
Majimbo kazi yao ni kujiendesha bila kuingiliwa na HQ as long as unapeleka 20% ya mapato ya jimbo HQ
Isingekua hivyo nadhani HQ wangekua wamekwisha mwaga Askofu Boganza kitambo sana
Na ndio maana KKKT hawanaga matamko ya pamoja kama KANISA isipokua ni mtazamo wa Askofu wa jimbo au Mkuu wa KKKT watakavyoona watatoa misimamo yao
Catholic kuna TEC.Acha.uongo.huwezi ukajiamulia tu jamboHata Katoliki kila Askofu ana mamlaka yake. Na anaripoti directly kwa Papa.
Uongo.... Kuna rais wa Baraza.Hata Katoliki kila Askofu ana mamlaka yake. Na anaripoti directly kwa Papa.