Hivi muundo wa KKKT upoje naona kama kila Askofu ana mamlaka yake

Hivi muundo wa KKKT upoje naona kama kila Askofu ana mamlaka yake

Uongo.... Kuna rais wa Baraza.
Lile ni baraza la hiari. Siyo sehemu ya muundo wa kanisa.

Ndio maana wakitoa tamko kila Askofu anaweka saini yake, kukubaliana.

Wakati Dar yupo Pengo, wenzake walikuwa wakitoa tamko yeye anaitisha media anapingana na wenzake.
 
Mkuu kila jimbo KKKT linakua na utawala wake kamili wa kujirndesha bila kuingiliwa na makao makuu

Makao makuu wanatoa miongozo ya kiibada tu
Majimbo kazi yao ni kujiendesha bila kuingiliwa na HQ as long as unapeleka 20% ya mapato ya jimbo HQ

Isingekua hivyo nadhani HQ wangekua wamekwisha mwaga Askofu Boganza kitambo sana

Na ndio maana KKKT hawanaga matamko ya pamoja kama KANISA isipokua ni mtazamo wa Askofu wa jimbo au Mkuu wa KKKT watakavyoona watatoa misimamo yao
Upo sahihi kabisa except KKKT Askofu ni wa Dayosisi (sio jimbo)... ila RC Askofu bi wa Jimbo
 
Ndomana kkkt hakuiishi migogoro kwa sababu muundo wake uko week sana
 
Ndomana kkkt hakuiishi migogoro kwa sababu muundo wake uko week sana
Naamini ulimaanisha weak(dhaifu)......... Fafanua mkuu

KKKT wanafuata mfumo wa kidemokrasia wakati makanisa mengine yanafuata mifumo ya kiimla..... viongozi wa majimbo wanateuliwa na kulazimika kufuata matakwa ya wateule
KKKT kiongozi anachaguliwa na anakua na mamlaka kamili..... hakuna wa kumtengua labda mizengwe na Mahakamani.

Kwakuwa wabongo tunapenda mambo ya kiimla ndio maana tunao KKKT wako dhaifu kwasababu huwezi kumtoa Askofu labda umuanzishie fujo na kesi mahakamani ili KULAZIMISHA kumtoa, na ndio hiyo unaita migogoro ya mara kwa mara sababu kunakua na mashinikizo toka HQ kuwatumia waumini wamtoe askofu wako wakasababu wao hawana mandate hiyo

Kama waumini wa Dayosisi ya Bonganza wangekua vilaza saa hii wangemuanzishia zengwe ila ukweli ni kuwa HQ hawamtaki na hawana la kumfanya

Hu ni mfumo strong sema ni vile sisi ndio weak
 
Back
Top Bottom