Lile ni baraza la hiari. Siyo sehemu ya muundo wa kanisa.Uongo.... Kuna rais wa Baraza.
TEC ni baraza la hiari.Catholic kuna TEC.Acha.uongo.huwezi ukajiamulia tu jambo
Upo sahihi kabisa except KKKT Askofu ni wa Dayosisi (sio jimbo)... ila RC Askofu bi wa JimboMkuu kila jimbo KKKT linakua na utawala wake kamili wa kujirndesha bila kuingiliwa na makao makuu
Makao makuu wanatoa miongozo ya kiibada tu
Majimbo kazi yao ni kujiendesha bila kuingiliwa na HQ as long as unapeleka 20% ya mapato ya jimbo HQ
Isingekua hivyo nadhani HQ wangekua wamekwisha mwaga Askofu Boganza kitambo sana
Na ndio maana KKKT hawanaga matamko ya pamoja kama KANISA isipokua ni mtazamo wa Askofu wa jimbo au Mkuu wa KKKT watakavyoona watatoa misimamo yao
shobo zimezidi hadi inatia aibuHivi mbona viongozi wa kiislamu hawana kasi kubwa ya hizi shobo za uchawa kama wakristu
Naamini ulimaanisha weak(dhaifu)......... Fafanua mkuuNdomana kkkt hakuiishi migogoro kwa sababu muundo wake uko week sana