Mipale Steve
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 384
- 43
Hapo kwa TAMISEMI ndiyo halmashauri mkuu!Husika na kichwa cha habari.
Naomba kuuliza hv mwajiri wa walimu ni nani? Je ni TAMISEMI,?? MKURUGENZI WA HALMASHAURI? WIZARA YA ElIMU??? TSD(teachers servise department)?? Au Ofisi ya utumishi wa uma?
Naomba kuwasilisha!
Hapo kwa TAMISEMI ndiyo halmashauri mkuu!
mkurugenzi
kwani mnalipwa na nani?ukiajiriwa na Alli,atakulipa Mussa?.
nyie ni vibarua tu,mwajiri wako ni mkuu wa shule/mwl mkuu
Wapo wanaoajiriwa na Mkurugenzi, anayewaajiri kwa niaba ya wizara na wapo wanaoajiriwa na katibu mkuu wa wizara. Lakini wote fungu lao moja, linatoka wizarani
mimi cjui
kwa niaba ya wizara
gani? MOETV au TAMISEMI?? Na TSD Je? Kama unaajiriwa na wizara mbona Tsd
ndo wanakupandisha daraja au hata kukushusha vlevle hata kukufukuza
kazi
Husika na kichwa cha habari.
Naomba kuuliza hv mwajiri wa walimu ni nani? Je ni TAMISEMI,?? MKURUGENZI WA HALMASHAURI? WIZARA YA ElIMU??? TSD(teachers servise department)?? Au Ofisi ya utumishi wa uma?
Naomba kuwasilisha!
rejea barua yako ya uajiri utapata jibu.
okey point of corection thanks! Sasa muajiri ni nani?
Siku hizi waalimu wote mwajiri wao na mkurugenzi wa halmashuri,kipindi cha nyuma kidogo walimu wa sekondari mwajiri wao alikuwa ni katibu mkuu wa Moevt,ni bora ilivyokuwa kwa katibu mkuu na sio mkuregenzi maana wanawanyanyasa waalimu hasa wa shule ya msingi,
Indirect rule is better Than Direct rule,kama kuna mwalimu wa sekondari si dhani kama atabisha