Hivi mwajiri wa sisi walimu ni nani??

Hivi mwajiri wa sisi walimu ni nani??

Mipale Steve

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
384
Reaction score
43
Husika na kichwa cha habari.

Naomba kuuliza hv mwajiri wa walimu ni nani? Je ni TAMISEMI,?? MKURUGENZI WA HALMASHAURI? WIZARA YA ElIMU??? TSD(teachers servise department)?? Au Ofisi ya utumishi wa uma?

Naomba kuwasilisha!
 
Hapo kwa TAMISEMI ndiyo halmashauri mkuu!
 
kwani mnalipwa na nani?ukiajiriwa na Alli,atakulipa Mussa?.
 
Wapo wanaoajiriwa na Mkurugenzi, anayewaajiri kwa niaba ya wizara na wapo wanaoajiriwa na katibu mkuu wa wizara. Lakini wote fungu lao moja, linatoka wizarani
 
Sasa hapo ndio tutegemee utafundisha watoto zetu utambuzi wakati wewe mwenyewe hujitambui!!?? haya ni maajabu.
 
Wapo wanaoajiriwa na Mkurugenzi, anayewaajiri kwa niaba ya wizara na wapo wanaoajiriwa na katibu mkuu wa wizara. Lakini wote fungu lao moja, linatoka wizarani

kwa niaba ya wizara gani? MOETV au TAMISEMI?? Na TSD Je? Kama unaajiriwa na wizara mbona Tsd ndo wanakupandisha daraja au hata kukushusha vlevle hata kukufukuza kazi
 
kwa niaba ya wizara
gani? MOETV au TAMISEMI?? Na TSD Je? Kama unaajiriwa na wizara mbona Tsd
ndo wanakupandisha daraja au hata kukushusha vlevle hata kukufukuza
kazi

kwani huijui kazi ya tsd?kwa hyo ulitaka tamisemi/moevt ndio wakupandshe daraja?unataka kuniambia kuwa unadhani tsd ndio mwajiri wako na ndiye anayekulipa?UMEWAHI KUANDIKA BARUA YA MADAI YA FEDHA?ULIMUANDIKIA NANI?
 
Husika na kichwa cha habari.

Naomba kuuliza hv mwajiri wa walimu ni nani? Je ni TAMISEMI,?? MKURUGENZI WA HALMASHAURI? WIZARA YA ElIMU??? TSD(teachers servise department)?? Au Ofisi ya utumishi wa uma?

Naomba kuwasilisha!

rejea barua yako ya uajiri utapata jibu.
 
rejea barua yako ya uajiri utapata jibu.

jibu zuri sana hili!mwajiri wako ameanishwa kwenye barua yako ya ajira ambae ni mkurugenzi wa halmashauri,japo wapo walim wa zamani ambao mwajiri wao bado ni katibu mkuu wa wizara ya elim,!kwa sasa walim wote mwajiri wao ni DED!
 
Siku hizi waalimu wote mwajiri wao na mkurugenzi wa halmashuri,kipindi cha nyuma kidogo walimu wa sekondari mwajiri wao alikuwa ni katibu mkuu wa Moevt,ni bora ilivyokuwa kwa katibu mkuu na sio mkuregenzi maana wanawanyanyasa waalimu hasa wa shule ya msingi,
Indirect rule is better Than Direct rule,kama kuna mwalimu wa sekondari si dhani kama atabisha
 
na ndio maana nikauliza swali coz cku hz hata madiwan wanajifanya waajiri manyanyaso yamezidi
 
Back
Top Bottom