mwajiri wako ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri yako ya wilaya
uongo, mwajiri ni anayewalipa mishahara na ni serekali kuu, waalimu wakistaafu wanalipwa na pspf na watumishi wa halmashauri waliopo kwa ded wanalipwa na lapf
Sorry! Kwani mshahara wa walimu ni shngap?

ndo maana ulipata ziro form 4 hata cshangai.
daa,usilolijua....ila umenifurahisha. maswali yako ni ya kitoto.mwajiri wako ni mkurugenzi wa wilaya au manispaa!
uongo, mwajiri ni anayewalipa mishahara na ni serekali kuu, waalimu wakistaafu wanalipwa na pspf na watumishi wa halmashauri waliopo kwa ded wanalipwa na lapf
c kweli kwani mtumish yeyote ana haki ya kuchagua mfuko wowote kat ya lapf au Pspf
uongo, mwajiri ni anayewalipa mishahara na ni serekali kuu, waalimu wakistaafu wanalipwa na pspf na watumishi wa halmashauri waliopo kwa ded wanalipwa na lapf
Kama ni yeye mbona anashindwa kuongeza mishahara
Lakini wenye uhuru wa kuchagua ni waajiriwa wapya wale wa zamani wanalazimika kuendelea na mifuko ya zamani.