Hivi mwajiri wa sisi walimu ni nani??

Hivi mwajiri wa sisi walimu ni nani??

mwajiri wako ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri yako ya wilaya

uongo, mwajiri ni anayewalipa mishahara na ni serekali kuu, waalimu wakistaafu wanalipwa na pspf na watumishi wa halmashauri waliopo kwa ded wanalipwa na lapf
 
uongo, mwajiri ni anayewalipa mishahara na ni serekali kuu, waalimu wakistaafu wanalipwa na pspf na watumishi wa halmashauri waliopo kwa ded wanalipwa na lapf

c kweli kwani mtumish yeyote ana haki ya kuchagua mfuko wowote kat ya lapf au Pspf
 
Sorry! Kwani mshahara wa walimu ni shngap?

hapo inategemea ni mwalimu wa nini,kwa mfano walimu wanaofundisha urubani wanalipwa milioni 21 kwa saa,hii ni kwa mujibu wa sheria za urubani za Uturuki ya mwaka 1953,baada ya kufanyiwa marekibisho.
 
uongo, mwajiri ni anayewalipa mishahara na ni serekali kuu, waalimu wakistaafu wanalipwa na pspf na watumishi wa halmashauri waliopo kwa ded wanalipwa na lapf

Mwajiri ni mkurugenzi na kwenye mkataba ndo inavyosomeka
 
c kweli kwani mtumish yeyote ana haki ya kuchagua mfuko wowote kat ya lapf au Pspf

Lakini wenye uhuru wa kuchagua ni waajiriwa wapya wale wa zamani wanalazimika kuendelea na mifuko ya zamani.
 
na anayelipa mshahara ni mkurugenzi ndiye mwenye uwezo wa kulipa au kugoma kulipa wewe ulishani mwajiri ni nani?
uongo, mwajiri ni anayewalipa mishahara na ni serekali kuu, waalimu wakistaafu wanalipwa na pspf na watumishi wa halmashauri waliopo kwa ded wanalipwa na lapf
 
kuna tofauti kati ya mwajiri na mlipa mishahara serikalini anayekulipa mshahara sio mwajiri bali ni idara kuu ya utumishi wa umma ila anayekuajiri ni ded ndio maana utaona sekretariet wanakufanyia interview na kukupa post ukaripoti kwa mwajiri ambaye ni mkurugenzi mtendaji
Kama ni yeye mbona anashindwa kuongeza mishahara
 
we unaeuliza eti mwalimu analipwa sh. ngapi uko general zaidi, coz mwl ni m2 yeyote anaefundisha kwa makubaliano fulani, kuna mwl wa kwaya, mwl anefundisha driving, mwl wa grade A, stashahada, shahada, masters n.k, je we unauliza mwl yupi kati ya hizo?
 
Lakini wenye uhuru wa kuchagua ni waajiriwa wapya wale wa zamani wanalazimika kuendelea na mifuko ya zamani.

czani kwani hawa jamaa wa lapf wali2ambia kuwa unaweza kujitoa mfuko mmoja na kujiunga mwingingine
 
Back
Top Bottom