Hivi mwaka huu wa 2021 tuendelee kusema mitano tena au Tuseme minne?

Hivi mwaka huu wa 2021 tuendelee kusema mitano tena au Tuseme minne?

Bado 4 tu, Huyu anaondoka...ameipeleka nchi yetu siko kabisa... kuanza kuwimdana kama.wanyama.wa mwitu kweeli.

Lawama zote ziende kwa CCM..
Najiuliza siku akiondoka atakuja wa aina gani na nini kitatokea.
 
Mimi ni Mkristu, hapa siko kidini. Ila nikithaminisha uongozi wa viongozi wetu wa kikristu na waislam naona ngwe za viongozi wa kiislamu wananchi tumeishi kwa furaha na raha sana. Yaan maisha ya uhuru na amani kabisa. Hakuna unyanyasaji. Kila kitu ukipambana kwa dhati unapata. Ila wenzetu wakristu loh.

Mitano tena.
 
Ngoma milele hatuna mpango wa kutoka leo wala kesho kwa kifupi hatung'atuki
 
Back
Top Bottom