Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Kumekuwa na kauli mbiu maarufu mitano tena. Je kwa kuwa muda unaenda tuendelee na kauli hii au tupunguze kulingana na muda? Mfano minne, mitatu, miwili nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza DPP.Maumivu tu.
Mchawi TRA
Alafu uchaguzi urudiwe?2021 tunafanya Tume huru ya uchaguzi.
Najiuliza siku akiondoka atakuja wa aina gani na nini kitatokea.Bado 4 tu, Huyu anaondoka...ameipeleka nchi yetu siko kabisa... kuanza kuwimdana kama.wanyama.wa mwitu kweeli.
Lawama zote ziende kwa CCM..
ooooohhhhhh nipee TanooooooNipe 5 nami Nikurushe mpaka kuchee...
Kwa hiyo ni 20?Tunaenda kupitisha Bungeni miaka 10 ya shukurani kama alivyopendekeza Alhaji Mwinyi.