Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Ongeza DPP.Maumivu tu.
Mchawi TRA
Alafu uchaguzi urudiwe?2021 tunafanya Tume huru ya uchaguzi.
Najiuliza siku akiondoka atakuja wa aina gani na nini kitatokea.Bado 4 tu, Huyu anaondoka...ameipeleka nchi yetu siko kabisa... kuanza kuwimdana kama.wanyama.wa mwitu kweeli.
Lawama zote ziende kwa CCM..
ooooohhhhhh nipee TanooooooNipe 5 nami Nikurushe mpaka kuchee...
Kwa hiyo ni 20?Tunaenda kupitisha Bungeni miaka 10 ya shukurani kama alivyopendekeza Alhaji Mwinyi.