fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
kama kuna mtu anajua vizuri hili suala hebu tuandikie hapa tujue mkweli nani,kati ya mwakinyo na promota,maneno yamekuwa mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
𝙽𝚒𝚖𝚎𝚘𝚗𝚊 𝚊𝚕𝚒𝚢𝚎𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚔𝚘𝚌𝚑𝚊 𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚙𝚒𝚊 𝚗𝚒 𝚔𝚊𝚔𝚊 𝚊𝚔𝚎 𝚠𝚊 𝚍𝚊𝚖𝚞 𝚊𝚗𝚊𝚖𝚔𝚘𝚜𝚘𝚊 𝚖𝚠𝚊𝚔𝚒𝚗𝚢𝚘 𝚗𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚑𝚒𝚜𝚒 𝚑𝚒𝚒 𝚒𝚗𝚊𝚠𝚎𝚣𝚊 𝚔𝚞𝚖𝚙𝚘𝚝𝚎𝚣𝚊kama kuna mtu anajua vizuri hili suala hebu tuandikie hapa tujue mkweli nani,kati ya mwakinyo na promota,maneno yamekuwa mengi
Anasema hana mkataba wa maandishi, kwa level yake kama kweli ameingia mkataba wa maneno tu hivyo, inashangaza.Mwakinyo ni mjanja mjanja japo sijui sakata linaendaje.
mwakinyo kinachomsumbua ni ushamba, kukosa shule, upwani na kujifanya kama ameshafika. nadhani anahitaji meneja mzuri. kwenye kutafuta maisha kuna wakati unatakiwa kujifanya mjinga hata kama wanakupunja pesa so long as unaendeleza kukuza jina/kujiuza, kuna siku tu utapata mikataba mikubwa. kwa kile alichofanya jana na kile alichotuuzia mbuzi kwenye gunia Uingereza, amezidi kupoteza mashabiki sana. wenzake siku hizi hata asipopata pesa physically, umaarufu unakuwa mtaji mkubwa sana na kutunza mashabiki.kama kuna mtu anajua vizuri hili suala hebu tuandikie hapa tujue mkweli nani,kati ya mwakinyo na promota,maneno yamekuwa mengi
cha kujiuliza, hao aliowabwaga, hata kama siku nyingine watakuja kuwa na mkataba mnono, watamwita? watu wametangaza shidano azam kwa kitambo, gharama kubwa afu yeye analeta mizaha?Anasema hana mkataba wa maandishi, kwa level yake kama kweli ameingia mkataba wa maneno tu hivyo, inashangaza.
BONDIA Mtanzania Hassan MWAKINYO amethibitisha kuwa hakutakuwa na pambano lake dhidi ya Bondia kutoka Namibia, Julius Munyelele Indongo na kusitisha biashara ya ununuzi wa tiketi kwa ajili ya pambano lake hilo.kama kuna mtu anajua vizuri hili suala hebu tuandikie hapa tujue mkweli nani,kati ya mwakinyo na promota,maneno yamekuwa mengi
Mapromota ni wahuni wahuniBONDIA Mtanzania Hassan MWAKINYO amethibitisha kuwa hakutakuwa na pambano lake dhidi ya Bondia kutoka Namibia, Julius Munyelele Indongo na kusitisha biashara ya ununuzi wa tiketi kwa ajili ya pambano lake hilo.
Aidha Mwakinyo ametoa ombi kwa Baraza la michezo Tanzania (BMT) kusimamia haki za Bondia Munyelele ambaye tayari yupo Nchini kwa ajili ya pambano hilo kwa mujibu wa sheria.
“Fight has been cancel baada ya mazungumzo kuto fika atamu na sasa ni rasmi hakutakua na pigano langu hakuna tena biashara ya kununua ticket ...
“Ombi kwa wizara ya michezo na BMT naomba wasimamie haki za bondia Julius Indongo amefika kwa ajili ya pambano na sheria ni kama pambano limevunjika kwa bondia mmoja inabidi mgeni alipwe haki zake kwakua yeye amefika.
“Naomba simamieni promoter amemkana anasema hamjui na haya mambo hayana mwenyewe na sisi huwa tunasifiri kwenda nchi za watu yanaweza tukuta pia i hope litafanyiwa kazi.!! Next time!! Wanasema kufa kwa Imamu sio mwisho wa swala...” ameandika Mwakinyo kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa akipandishwa mahakamani ndio kazi sasaWanamichezo wameanza kujitambua sasa,, wametajirisha sana watu kwa miaka mingi na kuachwa bila kitu baadae maisha yakianza kuwatandika ama wakiugua wanaishia kutembeza bakuli,, safi sana Mwakinyo safi sana Feisal Salum taratibu heshima itapatikana tu,,
Hizi siasa zenu leteni kwenye michezo migine sio ngumi.mwakinyo kinachomsumbua ni ushamba, kukosa shule, upwani na kujifanya kama ameshafika. nadhani anahitaji meneja mzuri. kwenye kutafuta maisha kuna wakati unatakiwa kujifanya mjinga hata kama wanakupunja pesa so long as unaendeleza kukuza jina/kujiuza, kuna siku tu utapata mikataba mikubwa. kwa kile alichofanya jana na kile alichotuuzia mbuzi kwenye gunia Uingereza, amezidi kupoteza mashabiki sana. wenzake siku hizi hata asipopata pesa physically, umaarufu unakuwa mtaji mkubwa sana na kutunza mashabiki.