JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
Mshahara wa majeshi, unategemea nguvu ya, kiuchumi ya, nchi!Wakuu, mliotembea na kuyajua mambo mbalimbali hasa ya kijeshi nijulisheni, maana kuna mjeshi mmoja toka Marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini.
Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada? Vipi mwanajeshi wetu Tanzania wana uwezo huo pia?
Pia nimeona anapiga tizi kwenye uwanja wa shule hapa aisee jamaa yuko fit ile mbaya sasa najiuliza hawa wajeda wetu wameiva kama huyu, nanyemelea nipate kuwa mkalimani wake hapa.
mafunzo ya kijesh vyeo shelia ishara ni zile zile tu kinachotofautisha ni mafunxo ya ziada utayopata kutokan na mishen utayoend na kitengo utachopangiwa but tukij kimaslai atuingi hat robo wao uchum wao mkubwa kaz ya jesh pana malipo lazma yawe makubw pia na fitnes ni mazoea tu wpo wanajesh wanapend mazoez na wapo waviv ht uko au hap unaez kutan na mwanajesh ana kitamb mzembe kachoka na pombe ukajsmea huy anfany ktu nkichachamaa na wpo wajed ukmuon tu muonekan unaon ypo fitWakuu, mliotembea na kuyajua mambo mbalimbali hasa ya kijeshi nijulisheni, maana kuna mjeshi mmoja toka Marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini.