Hivi mwanajeshi wa Marekani ana hadhi sawa na mwanajeshi wa Tanzania? Kuanzia kipato/ mshahara, mafunzo?

Hivi mwanajeshi wa Marekani ana hadhi sawa na mwanajeshi wa Tanzania? Kuanzia kipato/ mshahara, mafunzo?

Hahahahahahahaha usilolijua mkuu, nikuache hivyo hivyo hii mitandao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, kama kuna la ziada unalolifahamu tiririka tu mkuu, ndio maana ya kuwepo kwa hii mada.

Ni kweli mkuu mimi sifahamu lolote kuhusiana na hao watu, ndio maana nikamwambia aende Ngome akaulize.

Mimi ni Raia tu mkuu, nilitoa maoni kulingana na ufahamu wangu mdogo sana wa kiraia, mnisamehe sana kama nimewakwaza makamanda.
 
Jeshi letu tunalipenda lkn ni dhaifu sana hasa katika kusimamia na kulinda katiba na hii sio bahati mbaya bali kwa sababu watu walioenda walikosa pa kwenda kwhy serikali inatumia mwanya huo kuwalipa kama mbwa tu ambae analala lindoni asubuhi anapewa makombo ya boss,,hao polis nao kama maiti vile hawajui wanastahili nini,,,katika wizara zinazolipa vibaya nadhani wizara ya mambo ya ndani inaongoza sema kinachowasaidia posho tu za chakula na vinywaji
 
Tumia akili japo 1/8 ya hiyo akili. Kama umeshaitumia yote na bado hujanielewa ktk hiyo comment yangu sina msaada mkuu.
Polisi sio mwanajeshi kwa tafsiri yetu.
Kwa mujibu wa katiba polisi ni mwanajeshi,magereza pia ukisoma ile ibara inayopiga marufuku 'wanajeshi kujiunga na vyama vya siasa '
 
Kaangalie qualifications za kuwa mwanajeshi kwa marekani na Tanzania
 
Hapana mkuu, kama kuna la ziada unalolifahamu tiririka tu mkuu, ndio maana ya kuwepo kwa hii mada.

Ni kweli mkuu mimi sifahamu lolote kuhusiana na hao watu, ndio maana nikamwambia aende Ngome akaulize.

Mimi ni Raia tu mkuu, nilitoa maoni kulingana na ufahamu wangu mdogo sana wa kiraia, mnisamehe sana kama nimewakwaza makamanda.
Hahahhahahahaha mambo ya mitandao yakupeleke ngome ?? Hakika hautosahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hainigusi,,binafsi nilipenda kuwa askari hasa Jwtz lkn mzee akanikatalia kwamba ntadumaa kiakili na kiuchumi ikabidi nimsikilize
Hahaha aisee umenifanya nicheke sana😂😂
And do you think your daddy was right?
 
Wakuu mliotembea na kuyajua mambo mbali mbali hasa ya kijeshi nijulisheni,,,maana kuna mjeshi mmoja toka marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini!

Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada? Vipi mwanajeshi wetu tz wana uwezo huo pia?

Pia nimeona anapiga tizi kwenye uwanja was shule hapa aisee jamaa yuko fit ile mbaya sasa najiuliza hawa wajeda wetu wameiva kama huyu,,nanyemelea nipate kuwa mkalimani wake hapa,,,

Mbona bichwa lako la habari na utumbo wako wa habari ni vitu tofauti?

Kwanza tujulishe huyo mwanajeshi wa Kimarekani kafata nini huko
kwenu? Na umejuaje kuwa ni mwanajeshi kweli wa Marekani?
 
Hilo halina mjadala mishahara sio mikubwa hivyo tena nimelinganisha na UK waingereza wanawaacha mbali sana kwa mishahara
Hata mimi nawazidi mshahara [emoji2957][emoji2957]
Baadhi yao wa USA
View attachment 1352455
Na hawa ni UK ila kwetu sijui wanakula ngapi
View attachment 1352456


Sent from my iPhone using Tapatalk

Umefanya vizuri kuleta data, watu wanapagawa na jina USA. Kimsingi USA wanajeshi wanalipwa pesa ndogo sana ukizingatia ukubwa wa uchumi wao na bajeti ya ulinzi kwa mwaka. Kazi nyingi za kawaida kabisa USA zinalipa vizuri kuliko jeshi.
 
Swali lako linajibika relatively; bajeti ya ulinzi USA ni kiasi gani kwa mwaka na wanajeshi wanalipwa kiasi gani, vivyo hivyo kwa Tanzania.

Sijui bongo wanajeshi wanalipwa shingapi hivyo siwezi sema sana kuhusu wao, ila naamini tokana na uchumi wetu na bajeti ya ulinzi basi wanalipwa vizuri kwa standards za bongo.

Kwa USA, wanajeshi wao wanalipwa kawaida sana ukizingatia bajeti yao ya ulinzi, kazi za kawaida kabisa USA zinalipa vizuri kuliko jeshi. Aidha wanajeshi wanapewa benefits za kuwazuga ila polisi wanapata benefits zaidi.

Ni ujinga kudhani sababu mtu mwenye 1000 anamlipa mwanajeshi wake 500, basi na wewe mwenye 100 inabidi umlipe wako 500. Ndo maana nilisemwa swali lako linajibika relatively.
 
Wanajeshi wa Tanzania hamna kitu, wanachoweza ni kuonesha ubabe kwa mateja waliovaa nguo zinazofanana na za jeshi au kwa raia waliopita eneo la jeshi
 
Umefanya vizuri kuleta data, watu wanapagawa na jina USA. Kimsingi USA wanajeshi wanalipwa pesa ndogo sana ukizingatia ukubwa wa uchumi wao na bajeti ya ulinzi kwa mwaka. Kazi nyingi za kawaida kabisa USA zinalipa vizuri kuliko jeshi.

Wapo nigga humu wabishi kama nini [emoji23]


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wakuu, mliotembea na kuyajua mambo mbalimbali hasa ya kijeshi nijulisheni, maana kuna mjeshi mmoja toka Marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini.

Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada? Vipi mwanajeshi wetu Tanzania wana uwezo huo pia?

Pia nimeona anapiga tizi kwenye uwanja wa shule hapa aisee jamaa yuko fit ile mbaya sasa najiuliza hawa wajeda wetu wameiva kama huyu, nanyemelea nipate kuwa mkalimani wake hapa.
Mchunguzeni asije kuwa shushushu huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom