barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Sio.We ni mwanajeshi ndugu yng??
Sio.We ni mwanajeshi ndugu yng??
Ahahahaaaa!!! Seneta wa Us vs kibajaji!!!Tuanze na rais, then wabunge ndio tuje kwa wanajeshi.
Kwa mfano mlinganishe kibajaji na mbunge wa Marekani
Kuliko polisi?Sio kweli mkuu, hapa nyumbani wanajeshi wanaheshima kubwa tu na mishahara yao ni mizuri.
Ikumbukwe tu kuwa kila Taifa linajikuna kutokana na uwezo wa rasilimali zake. Hatuwezi fanana wote. Ila kwa viwango vya hapa nyumbani, wanajeshi wetu wanalipwa vizuri.
Mbona unapaniki wakati tunazungumza tu kuhusu hawa ndugu zetu hali zao kiuchumi zinaendana na kazi ngumu wanazofanya? Wanaitwa mbwa wa wanasiasa japo huwa sipendi kusikia hivo.Sio.
Hivi mbunge wa congress na mbunge wa tanzania wakikutana, naona anaona raha kukutana na mwenzake?Tuanze na rais, then wabunge ndio tuje kwa wanajeshi. Kwa mfano mlinganishe kibajaji na mbunge wa Marekani
Haha haya bhana inawezekana ndio ikawa njia yako ya kutoka kama usemavyo "Mtaji" ndio kila kitu.Yes wala hafichi ukipiga nae stories anakuonesha mpaka kitambulisho, namlia timing nipate angalau mtaji
Kupani ni tafsiri yako wewe! hivi unaongelea jeshi yaani JWTZ au polisi?Mbona unapaniki wakati tunazungumza tu kuhusu hawa ndugu zetu hali zao kiuchumi zinaendana na kazi ngumu wanazofanya ???wanaitwa mbwa wa wanasiasa japo huwa sipendi kusikia hivo
Jeshi letu niseme wazi hatujalitumia vizuri .Marekani wanalipwa vizuri sababu jeshi hutumika kuvamia nchi nyingine kiuchumi ili wapore Mali ziende Marekani.Bila hata uzoefu wowote ule. Mwanajeshi wa Marekani ni binadamu anayethaminiwa huku ni kama mbwa tu asiye na mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazungumzia jwtz waliotangaza kufanya usafi siku ya maandamano ya Mange kimambiUtofauti upo ila hapa tanzania kwa standard yetu wanajeshi wanathaminiwa sana.
Hata mp
Kupani ni tafsiri yako wewe! hivi unaongelea jeshi yaani jwtz au polisi?
Oohhh...Nazungumzia jwtz waliotangaza kufanya usafi siku ya maandamano ya Mange kimambi
Nenda pale Ngome ( Baadae Kikombo) kawaulize usituhoshe mkuu.Heshima ya namna gani??? Mishahara yao inatosheleza au ni ile ya kununulia nyanya na jinzi tu???
Wala hainigusi,,binafsi nilipenda kuwa askari hasa Jwtz lkn mzee akanikatalia kwamba ntadumaa kiakili na kiuchumi ikabidi nimsikilizeOohhh...
Kwa hiyo hapa ndio ilikutachi eeh!
Ok...Wala hainigusi,,binafsi nilipenda kuwa askari hasa Jwtz lkn mzee akanikatalia kwamba ntadumaa kiakili na kiuchumi ikabidi nimsikilize
Wenzetu hupigana Vita za kiuchumi .Mfano Vita ya kuitandika Iraq iligharimiwa na makampuni ya mafuta ya marekani yalitoko Kuwait.US Military budget zaidi ya $700 billion. Huwezi linganisha na hawa wa kwetu wazee wa kupasua tofali. Ni Sawa na kulinganisha kichuguu na mlima
Aaaah mkuu unataka uchukue tonge langu!? Ila jamaa yuko vizuri mfukoni sio siri nilijaribu kumdodosa Jana akasema kwao mtu akijiunga jeshini serkali inamuhakikishia maisha,,yan hana wasiwasi kwamba atajenga Lin,familia itakula nini,,akanambia wao wanaambiwa wafikirie marekani kuitawala dunia tu wala sio maishaHaha haya bhana inawezekana ndio ikawa njia yako ya kutoka kama usemavyo "Mtaji" ndio kila kitu.
So anapatikana wapi kwasasa na uwanja gani anaofanyia mazoezi?
Wanajeshi wa Tanzania kule Marekani ni Sawa Na Migambo wa Jiji huku kwetu
Kidogo niko mbali kwa ujuzi na kipato pia maana naweza kuwa na akiba kwenye akauntiOk...
Good for you! Je sasa uko mature kiakili kwa sababu hukuenda jeshini?