Zamani mimi kama hali kama hiyo nikikumbana nayo nilikuwa nawahi kujinyunyizia spirit nione kama nimechubuka! Lol
Thank you for the infomation, je hatazaa mana bado msichana hajaolewa...Au akijaa zaa kuna madhara yoyote yale.
Mana yule msichana anatoa reason kuwa pale kazini kwao yeye anasiimama sana, sababu anafanya kazi ya customer service, na boy friend wake ana kg 100 na yeye ana 45 kg....na wakati wanafanya sex anachukua time kupizi ndo sababu au kanipiga urogi tu.
BTW...(huyo ni gf wa jamaa mmoja)
ushauri mwingine....? dah!Hawa hutengeneza bikra za kubumba sasa unaweza ukakuta wakati unabanjua ndio wakati inatengenezwa hapo lazima damu itokee
Sasa wewe si wanawake wote wanapo fanya sex wanatoka damu, nimepata infomation sasa hivi kutoka kwa Dr mmoja anasema hivi; Inawezekana she may just be experiencing the stimulation from the cervix, au inawezekana kipigo kikubwa anakipata huyo msichana kutoka kwa boy friend wake :biggrin:mmh hii mpya kabisa sijawahi kuisikia
Siyo dalili nzuri hata kidogo.Mshauri akafanye pap smear - ni kipimo cha kugundua saratani.
Moja ya dalili za cancer ya shingo ya uzazi ni hiyo!
OMG!
Huyo mwanaume ana matatizo.
Unamfanya hadi damu inatoka.Uliambiwa ni ugomvi? Kama kubwa sana vaa ring special.
Utakuja kumtoa kizazi bure
Zamani mimi kama hali kama hiyo nikikumbana nayo nilikuwa nawahi kujinyunyizia spirit nione kama nimechubuka! Lol
Ulitakiwa ukaloweke kwenye maji ya moto yenye chumvi! Kumbe mzembe toka longi, Jacob Zuma ndugu yako?
Sasa wewe si wanawake wote wanapo fanya sex wanatoka damu, nimepata infomation sasa hivi kutoka kwa Dr mmoja anasema hivi; Inawezekana she may just be experiencing the stimulation from the cervix, au inawezekana kipigo kikubwa anakipata huyo msichana kutoka kwa boy friend wake :biggrin:
Wewe unajua stimulation ya cervix? Ukigusa cervix hilo yowe atakalotoa mtaa wa tatu watakuja kama sio patrol car ya polisi!