Ya kawaida tu, sema yule msichana anamwaga sana mpaa anaona mwisho wake sio raha tena anapata kama ganzi vile anavyo dai yule msichana...na msichana huyo anavyo dai mara nyingi sababu ingine jamaa anachelewa sana kupizi, na kidogo jamaa mzito yani anapo piga machine ule uzito uansaidia kukandamiza na kingine anadai eti kazini kwao anasimama sana sababu anafanya kazi ya customer service
Mwanaume akawa na wasi wasi anadhani labda ana maradhi flani ndo mana anataka kujua....Lakini kitu kiancho mfanya aendelee naye ni sababu yule msichana ana dalili kama katulia na anampenda huyo huyo mwanaume lakini problem ndo hio lazima atoke damu lakini sio kila siku yani wakifanya sex kuna siku moja moja yule msichana anakuwa hatoki damu.