Hivi mwanamke unapata wapi ujasiri wa kumuomba penzi mwanaume ambaye si mpenzi wako?

Hivi mwanamke unapata wapi ujasiri wa kumuomba penzi mwanaume ambaye si mpenzi wako?

[emoji23] Au unausemea ule wa Mwa J kwenye vigodoro? Niliamua kuhama kwangu kwa muda nikaamua kupanga gheto huku uswazi, sasa hivi kanimisije!!? Ndo kwanza namwambia ana miezi mitano ya ziada kuwa mbali na mimi, wacha tu wanisaidie kuchakata kwa kweli
🤣🤣🤣🤣🤣kwani wewe umeusahau uzi wako🤣🤣
 
Ukishajijua we ni gentle and handsome wala uwezi sumbuka na wanawake wanatuliliaga vibaya mno but ndo kwanza hatuna time nao absolutely...
 
Kwan ajabu nn,ni ugomvi nao huo.....si mnapeana then kila mtu asambae akalale na kula kwao....au kaomba na ya kutolea?
 
Ukishajijua we ni gentle and handsome wala uwezi sumbuka na wanawake wanatuliliaga vibaya mno but ndo kwanza hatuna time nao absolutely...
Aisee, kama ana nia njema na mimi, basi ni jambo la kumshukuru Mola. Wacha na wenzie wajisogeze, hakuna namna
 
Kwan ajabu nn,ni ugomvi nao huo.....si mnapeana then kila mtu asambae akalale na kula kwao....au kaomba na ya kutolea?
Lakini si alikuwa tayari kashatongozwa na wanaume wengine wengi? Kwani kati yao hajaona mtu wa kumchakata hiyo mbususu?

Asije akawa anataka kunikomoa kwa sababu ya kutokumshobokea na litako lake, mwishowe akaniunganishia waya bure, nikafa mapema
 
Hamnaaa ingia tu kwenye database ya Taifa....
Awee[emoji23][emoji23]
Mambo ya kutwa mara tatu mie siyawezi. Naskia yale mavidonge ukianza kuyatandika, unaanza kupata ndoto za mapambio, kwamba uko zako bustani ya Edeni na maraika mnalisakata Rumba, ni mwendo wa Abieeeeeeee[emoji443]
 
Awee[emoji23][emoji23]
Mambo ya kutwa mara tatu mie siyawezi. Naskia yale mavidonge ukianza kuyatandika, unaanza kupata ndoto za mapambio, kwamba uko zako bustani ya Edeni na maraika mnalisakata Rumba, ni mwendo wa Abieeeeeeee[emoji443]
Ndy ujifunze kulinda hizo kengele zako.......
 
Ndy ujifunze kulinda hizo kengele zako.......
Na kweli, kwa sababu hakunaga pisi kali inayotafuta ukuni. Bali kuni ndizo hutafuta mahali swaafi pa kukojolea. Hata kama hakuwa na nia mbaya inambidi aache mara moja, huu utamaduni sio wa kwetu aisee
 
Poa,,filamu inaitwaje ?,nami nikaicheki.
20221123_161211.jpg
 
Aisee, hili suala la hamsini kwa hamsini linatupeleka pabaya kwa kweli. Sidhani kama tutafika. Umeanza na Melki nakupenda nikawa nakuangalia tu, ukaona haitoshi ukatangaza mtaa mzima kuwa tuko na mahusiano, nakuangalia tu.

Leo hii umeona haitoshi na kuja kuniomba penzi tena in moja kwa moja. Aisee, nimefurahishwa sana na hili, ifikie tu wakati na nyie wanawake muonekane kuwa mna shida na ukuni, siyo sisi tu tuonekana ndiyo watu wenye shida sana na papuchi.

Bado kautofauti katakuwepo tu, maana yake ni wanaume wengi tu hapa mtaani wamekuomba papuchi ukasema hapana "There is someone special", japo mwanzoni nilichukulia kama utani kwa sababu sikuwahi kuexperience hii kitu mahali popote pale. Kwa hiyo umeamua kusacrifice uzuri wako wote, hilo figure lako je? Na hiyo rangi ya mwili wako! Jumlisha na hizo dodo je? Basi bhana, we niletee niitafune ipasavyo, kwa hili sintokuhurumia kwa kweli

Binti kaniomba tufanye mapenzi, nahisi kuna namna nachezewa. Hii si kawaida kwa binti wa Kitanzania, tena Dar es Salaam. Haya mambo tumezoea kuyaona huko Bombay na Japan, huku kwetu bado sana.

Ni muda mrefu sasa tokea nipange ka chumba kangu kamoja ka mchongo hapa mtaani. Kuna binti ambaye kusema ukweli ni mrembo na mzuri kupita maelezo ambaye wanaume wa mtaa mzima huwa wanajigonga gonga na kumsujudia. Wengine hufikia hatua ya kumwabudu na kumlilia.

Nilishawahi kuapa hata hapa jukwaani kuwa "Haitokaa itokee nikamsujudia mwanamke, piga ua garagaza". Sasa huyu binti baada ya kuona kuwa sina muda naye akaanza mitego ya hapa na pale lengo lake akamilishe lengo la kuwavutia wanaume wote, atajipitisha pitisha, atajishikisha jisimu lake na mikucha yake ya ovyo, ndiyo kwanza sina time! Akafikia muda akaanza kunisalimu, lakini waapi!

Baada ya kuona wiki zinakwenda, akaamua kumtuma rafiki yake aje kunieleza kuwa ananipenda, nilichokifanya nikamwambia rafiki yake kuwa "Mimi nakupenda wewe, sema ni kwa vile huwa unaninyima muda wa kuzungumza na wewe, nipatie nafasi basi. Nakupenda. Kwani wewe hutaki?"

Binti akaishia kujichekesha chekesha kisha kupotea kusikojulikana. Baada ya siku kama mbili yule mrembo akarejea na kuanza kuniulizia masuala ya unamfahamu fulani? Ndani ya dakika hizo hizo akaamua kufunguka kuwa anavutiwa na mavazi yangu, sauti yangu, ucheshi wangu, n.k, nikawa nishajua tu kuwa kashadata.

Juzi kati nimetoka kumtafuna yule binti ambaye alikuwa ni njiwa wa mrembo tayari kwa ajili ya safari ya kimkoa.

Baada ya binti kutambua kuwa nina safari ya ghafla ndipo kunifuata na kunambia kuwa mbona sijamjulisha? Sasa nimjulishe yeye kama nani? Basi bhana, nikaamua kumuaga tu. Nilishtushwa na kauli yake ya ajabu baada ya kujua kuwa kesho kutwa ndiyo safari yangu itakapoanza, "Melki, naomba basi kabla ya kuondoka unipatie furaha yako".

Nikamuuliza "unasema nini?" akaanza kutetemeka na kujing'ata, akaamua kunambia nimuangalie machoni, sikuona chochote zaidi ya uzuri na tabasamu tamu lililofunika sura yake. Kisha akaniambia "Ndicho ninachomaanisha, please Melki, naomba unielewe, usinichukulie labda mimi ni m*laya, nimejikuta tu".

Haya bhana, kwenu wakulungwa, hapa si kwamba naingizwa cha kike ili kulea ujauzito wa Babu Juma?

Hii si kawaida kwa mabinti wa Kiswahili.

Ushauri tafadhari.
Asee
 
Back
Top Bottom