Hivi mwanaume asiye na nguvu za kiume.......

mweeeeeeeeeeeeeee!!!!!
kumbe bata nae anasimamisha?
i didnt knw.....napita mie byeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
 
na nguvu za kike zikoje?...........
 
Anaweza kumpa mimba mwanamke?
.............nimeuliza tu!!
zinazotia mimba ni mbegu, ule "mkongoro" ni transit tu, kwahiyo kama jamaa ataweza kufanya makeke mbegu zifyetuke, yep anao uwezo au pia anaweza kutolewa mambegu kwa sindano halaf yamiminwe kwenye uterus (hii kama hukusoma mzumbe huwez kuelewa) adhawaizi mwambie aka adopt kabla sheria za kuadopt hazijabadilika.
 

Asante Fugwe....sasa nimeanza kuelewa ila bado kidoooogo.
 

Asante mpenzi kwa kunielewesha......sasa hapa naanza kupata fursa ya kuelewa....ila niulize kitu kimoja.....kukosa nguvu za kiume ni kutosimama kabisa au inaweza kusimama kidogo.....yaani kwa kifupi mtu hawezi kugawa dozi nene yeye kikishasimama baada ya sekunde kinadedi....hiyo ndio nataka nijue
 
ok laaziz, ina maana unaongelea mwenye upungufu wa nguvu za kiume na sio yule ambae hana kabisa! got u, huyo kama atapata mwanamke mtundu basi definetly anao uwezo wa kufyetua risasi, lakini kazi ya ziada inahitajika. lakini acha nikipata nafasi nipekue mafaili yangu zaidi ili nikuje na fulu dataz.
 

Nasubiri mpenzi........wewe ndie utakaenihakikishia ufaulu wangu katika huu mtihani
 
Hivi nguvu za kiume si ndio kale kananii kanakuwa goigoi?
 
nasubiri mpenzi........wewe ndie utakaenihakikishia ufaulu wangu katika huu mtihani
soma PM yako sweetheart , tukielezea hapa sredi inweza ikalembewa jukwaa la wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…