Hivi mwanaume asiye na nguvu za kiume.......

Hivi mwanaume asiye na nguvu za kiume.......

Anaweza kumpa mimba mwanamke?.............nimeuliza tu!!
Enzi hizo,nikiwa mtaalam na mbishi wa kujichua kila siku, nilipungukiwa nguvu za kiume!!!
Just one goal tena la sekunde chache tu (kama kuku) lilinitosha kwa week,lakini nilipata mtoto!!!!!!

(so,inawezekana unless huo upungufu ni a complete impotent man/asiye simamisha kabisa)

So far upungufu wa nguvu za kiume ni "kujitakia au ni uamuzi tu",
...ikifika mda ukasema "i don't want to be a seconds man,i want to be a 30-40minutes man" utaweza tu,

.....from my experience!!

Mambo yanayochangia upungufu wa nguvu za kiume.

LEO ninataka tuangalie kwa kina mambo yanayochangia tatizo hilo upungufu wa nguvu za kiume. Ningependa tulio katika ndoa, ukishaisoma makala hii tuwahusisishe wenza wetu nyumbani au mpigie rafiki yako na kumueleza kuwa ana nafasi ya kujilinda kupoteza

nguvu za kiume na hivyo kuwa na uhakika wa amani nyumbani.
Nasema amani kwa sababu tatizo hili huingilia amani nyumbani kwani kuna kuhisiwa kuwa mwanaume anajihusisha na nyumba ndogo maarufu. Uzoefu katika vituo vyetu vya Marie

Stopes kina mama ndio huja kutafuta ushauri kwa nini mzee kabadilika na wafanye nini ili kumrudisha nyumbani. Zifuatazo ni sababu amabazo kitaalamu zinatajwa kuchangia kupungua kwa nguvu za kiume na nyingi kama si zote zinaepukika.

Msongo wa mawazo: Ni dhahiri kuwa akili na tendo la ngono vinategemeana sana. Inajitokeza mara nyingi sana kwa watu wenye matatizo katika biashara, kazini na sehemu nyingine hujikuta hawako katika hali ya kuwa na hamu ya tendo la ndoa mpaka pale

watakapotulia. Hii inaweza kuwapata watu wa rika zote na tatizo hili linaweza kuisha haraka kutegemeana na shughuli zao zinavyorudi katika hali ya kawaida

Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu.
Mzunguko wa damu mwilini una maana sana kwani kama damu haizunguki vizuri itachangia uume kutosimama vizuri kwa sababu usimamaji hutegemea kiasi na kasi ya damu inayoingia kwenye mishipa ya sehemu hiyo. Dawa zinazotumika kutibu shinikizo la damu huchangia pia kupungua kwa nguvu za kiume.

1. Unywaji pombe kupita kiasi: Pombe inaweza kuathiri mishipa ya damu na mishipa ya fahamu kwa wakati mmoja. Wakati mwingine mtu akilewa sana huathiri ubongo na kukata mawasiliano kisaikologia na hivyo kushindwa kuwa katika hali ya kuwa na hamu ya ngono na hivyo kutosimamisha.

2. Unene. Unene huwa unaambatana na mafuta mengi mwilini. Mafuta hayo wakati mwengine huzidi kwenye kuta za ndani za mishipa ya damu na hivyo kupunguza ukubwa wa mrija kiasi kwamba damu inipita kidogo na kwa shida. Hii huchangia kupungua kwa nguvu za kiume kwa sababu kiasi cha damu kinachotakiwa kisimamisha uume kitakuwa kidogo sana. Wakati mwingi uume unaweza kusimama kidogo na kulala kabla shughuli haijakamilika.

3. Kutokufanya mazoezi:
Tusipofanya mazoiezi pia mzonguko wa damu kutokuwa mzuri na hivyo kutoparuhusu damu ya kutosha kusimamisha uume. Kwa watu wanaotembelea magari na shughuli za kukuaa maofisini mda mrefu na hasa kama hawafanyi mazoezi asubuhi au jioni wako kwenye hatari zaidi kuliko watu wanotembea kwa miguu mwendo mrefu na kufanya kazi ngumu za kuuchosha mwili.

5. Matatizo ya kisukari: Kisukari ni ugonjwa unaoathiri mishipa ya fahamu na kufanya mishipa ya damu kutofanya kazi yake viuri ili kuruhusu damu kujaa kwenye uume. Hii himfanya mgonjwa wa kisukari kushindwa kusimamisha hata kama ana hamu ya kufaya tendo hilo.

5. Umri: Inaelezwa kuwa kadri umri unavyopanda ndio uwezo wa nguvu za kiume utaendelea kupungua. Baadhi ya watu huanza kuona tatizo hili wanapofikia umri wa miaka 40 na kuendelea na hasa kama maisha yao hayakuwa na mazoezi ya mwili. Sababu

nyingine ni kama utumiaji madawa ya kulevya, kuumia katika uti wa mgogongo, uvutaji sigara nk. Sababu nyingi zinachangia kupungua kwa nguvu za kiume zinaepukika kwa hiyo tunashauriwa kuwasiliana na wataalamu ili kujifunza jinsi ya kujikinga au kutibu matatizo

hayo. Kwa ushauri piga simu 0655744433 kuanzia jumatatu mpaka ijumaa saa kumi mpaka saa kumi na mbili jioni au tuma email kwenda info@mst.or.tz This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

Chanzo: Mambo yanayochangia upungufu wa nguvu za kiume.

Kwa yule anayetaka Dawa za Kuongeza nguvu za kiume awasiliane na mimi kwenye P.M. natoa baadhi ya First aid hapa

Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}

Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.
Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya

dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo
wa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia ya

kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zao
za kufanya mapenzi. MATUMIZI YA ASALI KAMA DAWA YA KUTIBU NGUVU ZA KIUME.

Pata Asali mbichi ya nyuki, Tangawizi kavu na pilipili Mtama, Asali kipimo nusu kilo,Tangawizi kavu Gramu 50 na pilipili Mtama Gramu 50 Twanga pamoja kisha chekecha upate unga wake changanya na Asali mbichi ya nyuki kula kila siku kijiko kimoja kutwa mara 3 kabla ya kula kitu Asubuhi,Mchana,na usiku. Muhimu hakikisha mpaka umalize Dawa kutumia ndio waweza kukutana na mke wako kimapenzi basi Nguvu zako za kiume zitarudi na utakuwa na nguvu kwenye mechi yako na mke wako. Ukitaka uwe na nguvu zaidi wasiliana na mimi kwa Private message nitaweza kukusaidia zaidi.

TONIC HERBS. Ni madawa yenye uwezo wa kuongeza nguvu za kiume na mwili kwa jumla. Mfano ni arkisusi, uwatu. Hulinjan n.k.

Kuna aina 2 zakukosa nguvu za kiume:-

1:uume haujawahi/kutosimama kabisa, -2=uume kusimama kwa nadra /kuotea hivi. ;aina ya pili mwanaume anaweza kumpa mwenza mimba.sababu kuu zinaosababisha kutokea tatizo hili,-1=sababu za kimwili kama hasa mishipa ya fahamu ambayo inashindwa kutuma ujmbe kwenye ubongo ili ubongo utoe taarifa kwa nyoka ili nyoka asimame /akasirike, na mgonjwa mengine kama parkisons disease, injury spinal cord,sclerosis,

-2=mzunguko wa damu ,--cholosterol 50%,high blood pressure,mpasuko kwenye mishipa ya damu, -3=magonjwa -kisukari,kushindwa kwa figo,kansa ya ini,-4= penile disease 😛yronic disease,imflammationa which causes the scar of erectile tissue thus no erection,-5=ajali/traumatic factor-ajali ya uti wa mgongo,kiuno,prostate,kibofu cha mkojo,rectum,mpasuko wa mishipa ya damu.

Mishipa ya fahamu inayohusika na na huko,-6=madawa,kama ya kutibu moyo,kushusha pressure,anthistmine,-7= ,antidepressant,antsupressant,anti ulcer,tranquilezers,sleeping peels,-7= sababu za kisaikolojia(pyschological)-uchovu,mwangaiko (stress),anxiety,mfadhaiko,woga,guiltness,-8= kuvuta aina za sigara/madawa ya kulevya na pombe inafanya mzunguko wa damu kuwa hafifu/chini,

-9= kutobalance kwa homornes kama testosterone,thyroxine(hypothyroidism),

-10= umri:umri mkubwa na mdogo sana ,11= kupiga punyeto ,-respiratory disease: Chronic distructive pulmonary disease and sleep apnea

Anaweza kumpa mimba mwanamke?

.............nimeuliza tu!!

Hili wazo umetoa wapi? Maana mi kwa haraka haraka ningejibu ya kwmb haiwezekani. Lakini kumbe humu jamvini 2po na mabingwa wa kona zote. Mmmmmmhh!!

Dada Preta kama uko kwenye research,tafuta upande wa kike, wa upande wa kuume ninao wengi sana ambao hawana hatari na wako tayari kwa kujaribiwa,:faint:

wameamua tu kunizungusha.....

Explain bana!

Enzi hizo,nikiwa mtaalam na mbishi wa kujichua kila siku, nilipungukiwa nguvu za kiume!!!
Just one goal tena la sekunde chache tu (kama kuku) lilinitosha kwa week,lakini nilipata mtoto!!!!!!

(so,inawezekana unless huo upungufu ni a complete impotent man/asiye simamisha kabisa)

So far upungufu wa nguvu za kiume ni "kujitakia au ni uamuzi tu",
...ikifika mda ukasema "i don't want to be a seconds man,i want to be a 30-40minutes man" utaweza tu,

.....from my experience!!

kwa kile kinachosemekana kama ED ie Erectional Disfunction ambapo jongoo huwa hawezi kupanda mtungi si rahisi mme wa aina hii kumpatia mke ujauzito. ila kwa yale matatizo yanayotokana na spams kama vile kutokuwa na mikia nk. uwezekano upo cha msingi bwana mkubwa aoneshe hali ya kukasirika tu. ilaaaaa........ why?/

Kweli kua mzee uyaone...mi sijawahi kuona mtu asiye na nguvu za kiume halafu akatoa mbegu...zinatokea wapi sasa

Atumie Viagra tuu. Mzuka utapanda utake usitake!!

Enzi hizo,nikiwa mtaalam na mbishi wa kujichua kila siku, nilipungukiwa nguvu za kiume!!!

Just one goal tena la sekunde chache tu (kama kuku) lilinitosha kwa week,lakini nilipata mtoto!!!!!!

(so,inawezekana unless huo upungufu ni a complete impotent man/asiye simamisha kabisa)

So far upungufu wa nguvu za kiume ni "kujitakia au ni uamuzi tu",

...ikifika mda ukasema "i don't want to be a seconds man,i want to be a 30-40minutes man" utaweza tu,

.....from my experience!!

Mkuu ulihakiki vipi kama huyo mtoto ni wako?au ulitumia pima maji aka macho.

Back
Top Bottom