Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Zamani nilivyokua naishi msela nilikua naona jambo la kawaida tu ila baada ya kuoa naona tabu sana kulala mwenyewe , yaani wife akisafiri siku tatu au wiki naona kama mwaka.
Nishazoea kushtua na wife kabla sijalala sasa nikiwa mwenyewe napata tabu sana ingawa kuna siku nyingine sijiskii hamu ya kushiriki tendo sema wife kama anajiskia huwa nampa haki yake hata kama mimi sikua kwenye mood ya kushiriki.
Ukiwa na mke ndani kunaokoa sana pesa maana wanawake wa nje wale wa tuma nauli au tuma na yakutolea ni gharama sana, akija kwako lazima ale na umpe na pocket money kitu ambacho ni tofauti na ukiwa umeoa mana hata siku ukiwa huna pesa bado wife hawezi kukubania kukupa haki ya ndoa.
Mwanaume unawezaje kuishi bila mke wakati una ajira ya kuweza kutunza mke?