Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 556
Dhamani ndo alikuwa X wakoDhamani nilivyokua naishi msela nilikua naona jambo la kawaida tu ila baada ya kuoa naona tabu sana kulala mwenyewe , yani wife akisafiri siku tatu au wiki naona kama mwaka.
Nishazoea kushtua na wife kabla sijalala sasa nikiwa mwenyewe napata tabu sana ingawa kuna siku nyingine sijiskii hamu ya kushiriki tendo sema wife kama anajiskia huwa nampa haki yake hata kama mimi sikua kwenye mood ya kushiriki.
Ukiwa na mke ndani kunaokoa sana pesa mana wanawake wa nje wale wa tuma nauli au tuma na yakutolea ni gharama sana mana akija kwako lazima ale na umpe na pocket money kitu ambacho ni tofauti na ukiwa umeoa mana hata siku ukiwa huna pesa bado wife hawezi kukubania kukupa haki ya ndoa.
Mwanaume unawezaje kuishi bila mke wakati una ajira ya kuweza kutunza mke ?
Dhamani
Ya nini ufuge ng'ombe, ikiwa uwezekano wa kupata nyama na maziwa upo?Mwanaume unawezaje kuishi bila mke wakati una ajira ya kuweza kutunza mke?
Kwann mkuuMwaka huu niko mbali na wife na sitaman hata kukutana nae asee raaha thana
Mapenzi tunapata ila atuna mpenzi😄Ya nini ufuge ng'ombe, ikiwa uwezekano wa kupata nyama na maziwa upo?
Ng'ombe akiumwa,nimlete daktari.
Ng'ombe akisikia njaa, nimlishe.
Na kuna siku Ng'ombe anaweza tu akajisikia asitoe maziwa na nisiwe na uwezo wa kumfanya chochote.
WTF
Dhamani ? na siyo zamaniDhamani nilivyokua naishi msela
Mwanaume unawezaje kuishi bila mke wakati una ajira ya kuweza kutunza mke?
Wasio na ajira wanacho cha kujitetea.Dhamani ? na siyo zamani
Kumbe una ajira? Na vipi wasio na ajira, wao ni sahihi kuishi bila wake?