Hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi bila mke?

Inawezekana ni kutune akili yako tu.. au ukishapigwa na kitu kizito umuhimu wakua nao hawa unapotea.
Ukishapigwa na kitu kizito
Moyo unaingia ganziii
Unapoteza kabisa hamu na hitaji la ndoa.

Some broken hearts never mend
 
Mbona wengine wake zao wapo ila visingizio mpaka mwaka unakatika halafu bila kumgusa mkewe, ila sasa wanavyopenda kuhudumiwa sasa, lakini yeye akiulizwa ugomwi😃😃😃
 
Jinsi ulivyokuwa unaishi zaman ndivyo wanavyoishi sasa.
Kuna jela na kuachana. Kuna jamaa alikuwa ameoa, anashangaa kwanini watu hawaoi.
Sasa hivi yupo single na hataki tena kuoa
 
Mwanaume mwenye upeo na kujiamini unashindwaje kuishi bila mwanamke? Lakini ukawa na watoto idadi unayoimidu
 
Ukichunguza vizuri mtoa mada ni mpenda kitonga mwenye kithembe
 
Vijana wanaona wepesi ni kununua nyama buchani na sio kufuga ng'ombe....
Wanasema kufuga ng'ombe kuna gharama kubwa kuliko kununua kilo yako moja ukanywa mchuzi maana sio kila siku utahitaji kula nyama......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…