MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Leo umempa hela ya bando ?Akiiona atajiongeza
AAH wacha weh [emoji3]vijana punguzeni stress [emoji16]
mimi binafsi ni mfano wa hao wanaume unaowaongelea, naeza kukaa ndani kwangu two weeks bila kutoa mguu nje zaidi ya kupokea delivery mlangoni ila ninao uwezo wa kukulisha wewe na mkeo mwaka mzima hata kuwavalisha wote mkitaka [emoji16]
Kuteseka sio sifa
Halafu wanajifanyaga wanajua mahaba Ili wahongwe π π π πππHivi Mwanaume Unakuwaje Boya Unayeshinda Umelala
Wakuu, kuna muda inabidi tuongee lugha ya machinjioni kwa sababu hawa viumbe wanaojiita wanaume wa kizazi hiki wamezvywa mno na umama.
Inakuwaje mwanaume mzima, una ndevu kidevuni, una sauti ya besi kama honi ya lori la mkaa lakini huna fani yoyote, huna kazi, na huna hata mia mbili ya dharura mfukoni mwako
Upo upo tu mjini kama tambala la deki lililotelekezwa chooni.
Kazi yako kubwa ni kushinda umejilaza kitandani, unakodoa macho kwenye screen ya simu huku ukiwaza shemeji yako au dada yako atakurushia saangapi buku mbili ya kula ugali.
Hivi wewe ni mwanaume kweli au ni demu aliyesahau kuvaa sketi
Inakuwaje mwanaume unafikisha miaka 30 lakini mikono yako haina ujuzi hata mmoja wa kueleweka Hujui ufundi wa pikipiki, hujui kompyuta, hujui kushona, hujui hata kushika jembe ukalime vishamba vya pembezoni mwa mji.
Umekaa tu kizembe umepishana mikono kifuani kama binti aliyekataliwa ukweni.
Nikuambie ukweli unaoukwepa, Huu ujinga wa kushinda unajipaka mafuta mwilini, unanyoa viduku vya ajabuajabu na kuvaa pensi fupi mtaani ukiwa huna mia mbili, haukufanyi uwe mjanja. Unajiona handsome boy wa mjini
Siku shemeji yako akichoka kukulisha ugali, atakufungia mlango mchana kweupe na utarudi kwenu kijijini ukiwa umeshika nguo mbili kwenye mfuko wa sandarusi.
Amka wewe Futa hayo makamasi ya usingizi uelewe jambo moja, Dunia haijawahi na haitawahi kumhurumia mwanaume, Ukiona unatafuta huruma na dezo kama dada yako, jiandae kisaikolojia kulipia gharama yake kwa dharau kubwa zaidi Mjini hapa hakuna mtu atakayekulisha bure bila kukutumia kama tambala la deki
Usipojiongeza sasa hivi ukaingia barabarani kutafuta fani na hela yako mwenyewe, hawa watu unaowaomba mteremko watakufanya vitu ambavyo vitakufanya ujute kwanini ulizaliwa mwanaume
Kama huna fani wala kazi lakini unataka kuvaa nguo za gharama, kumiliki simu kali na kunywa bia, mjini kuna wazee ambao wanasubiri wavulana wapenda dezo kama wewe
Mwisho
Lakini nakuahidi, kitakachokupata mbeleni hakitahitaji mkalimani utakuwa mfano bora kwa wengine.
ππππJF wote matajiri na tuna kazi.
Huu ujumbe wako unampa nani? πΉ
Uko sahihi sanaa.Mkuu kama umepata shughuli ya kukuingizia kipato,
Basi usimkashfu asiye na shughuli kwani wengi wao wamehangaika kiasi wanaona ni bora kukaa ndani kueouka fedheha.
Ni maneno kuntu kweli na haujayaumauma wakati ukighani!Hivi Mwanaume Unakuwaje Boya Unayeshinda Umelala
Wakuu, kuna muda inabidi tuongee lugha ya machinjioni kwa sababu hawa viumbe wanaojiita wanaume wa kizazi hiki wamezvywa mno na umama.
Inakuwaje mwanaume mzima, una ndevu kidevuni, una sauti ya besi kama honi ya lori la mkaa lakini huna fani yoyote, huna kazi, na huna hata mia mbili ya dharura mfukoni mwako
Upo upo tu mjini kama tambala la deki lililotelekezwa chooni.
Kazi yako kubwa ni kushinda umejilaza kitandani, unakodoa macho kwenye screen ya simu huku ukiwaza shemeji yako au dada yako atakurushia saangapi buku mbili ya kula ugali.
Hivi wewe ni mwanaume kweli au ni demu aliyesahau kuvaa sketi
Inakuwaje mwanaume unafikisha miaka 30 lakini mikono yako haina ujuzi hata mmoja wa kueleweka Hujui ufundi wa pikipiki, hujui kompyuta, hujui kushona, hujui hata kushika jembe ukalime vishamba vya pembezoni mwa mji.
Umekaa tu kizembe umepishana mikono kifuani kama binti aliyekataliwa ukweni.
Nikuambie ukweli unaoukwepa, Huu ujinga wa kushinda unajipaka mafuta mwilini, unanyoa viduku vya ajabuajabu na kuvaa pensi fupi mtaani ukiwa huna mia mbili, haukufanyi uwe mjanja. Unajiona handsome boy wa mjini
Siku shemeji yako akichoka kukulisha ugali, atakufungia mlango mchana kweupe na utarudi kwenu kijijini ukiwa umeshika nguo mbili kwenye mfuko wa sandarusi.
Amka wewe Futa hayo makamasi ya usingizi uelewe jambo moja, Dunia haijawahi na haitawahi kumhurumia mwanaume, Ukiona unatafuta huruma na dezo kama dada yako, jiandae kisaikolojia kulipia gharama yake kwa dharau kubwa zaidi Mjini hapa hakuna mtu atakayekulisha bure bila kukutumia kama tambala la deki
Usipojiongeza sasa hivi ukaingia barabarani kutafuta fani na hela yako mwenyewe, hawa watu unaowaomba mteremko watakufanya vitu ambavyo vitakufanya ujute kwanini ulizaliwa mwanaume
Kama huna fani wala kazi lakini unataka kuvaa nguo za gharama, kumiliki simu kali na kunywa bia, mjini kuna wazee ambao wanasubiri wavulana wapenda dezo kama wewe
Mwisho
Lakini nakuahidi, kitakachokupata mbeleni hakitahitaji mkalimani utakuwa mfano bora kwa wengine.
Huyu ni kama kajipata kidogo basi anaanza kufokea wengine. Hajui kama kuna watu hawana nafasi kama yake wala nguvu za kusema akalime. Ukijipata usiwalaumu ambao bado wanatafuta kujipataUnataka uwaamulie watu mambo yao? Ebooo
Ulifichwa wapi Tena πππ«΄Uko sahihi sanaa.
Bloo unasimanga siyo poa.Tutatoka tu kimtindo.Tuache twende JKT kwanza bloo!Hivi Mwanaume Unakuwaje Boya Unayeshinda Umelala
Wakuu, kuna muda inabidi tuongee lugha ya machinjioni kwa sababu hawa viumbe wanaojiita wanaume wa kizazi hiki wamezvywa mno na umama.
Inakuwaje mwanaume mzima, una ndevu kidevuni, una sauti ya besi kama honi ya lori la mkaa lakini huna fani yoyote, huna kazi, na huna hata mia mbili ya dharura mfukoni mwako
Upo upo tu mjini kama tambala la deki lililotelekezwa chooni.
Kazi yako kubwa ni kushinda umejilaza kitandani, unakodoa macho kwenye screen ya simu huku ukiwaza shemeji yako au dada yako atakurushia saangapi buku mbili ya kula ugali.
Hivi wewe ni mwanaume kweli au ni demu aliyesahau kuvaa sketi
Inakuwaje mwanaume unafikisha miaka 30 lakini mikono yako haina ujuzi hata mmoja wa kueleweka Hujui ufundi wa pikipiki, hujui kompyuta, hujui kushona, hujui hata kushika jembe ukalime vishamba vya pembezoni mwa mji.
Umekaa tu kizembe umepishana mikono kifuani kama binti aliyekataliwa ukweni.
Nikuambie ukweli unaoukwepa, Huu ujinga wa kushinda unajipaka mafuta mwilini, unanyoa viduku vya ajabuajabu na kuvaa pensi fupi mtaani ukiwa huna mia mbili, haukufanyi uwe mjanja. Unajiona handsome boy wa mjini
Siku shemeji yako akichoka kukulisha ugali, atakufungia mlango mchana kweupe na utarudi kwenu kijijini ukiwa umeshika nguo mbili kwenye mfuko wa sandarusi.
Amka wewe Futa hayo makamasi ya usingizi uelewe jambo moja, Dunia haijawahi na haitawahi kumhurumia mwanaume, Ukiona unatafuta huruma na dezo kama dada yako, jiandae kisaikolojia kulipia gharama yake kwa dharau kubwa zaidi Mjini hapa hakuna mtu atakayekulisha bure bila kukutumia kama tambala la deki
Usipojiongeza sasa hivi ukaingia barabarani kutafuta fani na hela yako mwenyewe, hawa watu unaowaomba mteremko watakufanya vitu ambavyo vitakufanya ujute kwanini ulizaliwa mwanaume
Kama huna fani wala kazi lakini unataka kuvaa nguo za gharama, kumiliki simu kali na kunywa bia, mjini kuna wazee ambao wanasubiri wavulana wapenda dezo kama wewe
Mwisho
Lakini nakuahidi, kitakachokupata mbeleni hakitahitaji mkalimani utakuwa mfano bora kwa wengine.
Nasubiri ndoto zanguHivi Mwanaume Unakuwaje Boya Unayeshinda Umelala

Wanaume kukumbushana muhimu sana mkuu, bando katafute mwenyewe ila ukiwa mzembe utakumbushwa tu. Look at it positively!!Kama hajakuomba hata bando la kuingia jf Ushauri wako una nafasi gani kwenye maisha yake .!?