Hivi Mwanaume unakuwaje mtu unayeshinda umelala tu!?

Nashukuru kwa sasa nipo huku Halmashauri napiga pesa. Haya masimango ningekonda
 
mwanaume anyelala wakati Wenzake wapo kazini:-
1. Amewekza hisa na amepata gawio kila miezi. sita, anafunga zaidi ya 20 m kila miezi sita.
2. Amenunua hati fungani/bond za BOT na anapiga kwa miaka 25 13% zaidi ya nyumba ya kupanga mikocheni.
3. ana fedha za matumizi ya kila siku UTT.
4. Anajisomea mtandaoni hasa youtube, chatgpt na kuangalia mitandao ya wafanyi biashara wakubwa.

WEWE SASA:-
1. Unashinda ofisini, san sana unaambulia nauli na fedha za kutibu UTI
 
Hao ndio wanao olewa. Hakuta kitu cha bure.
 
Wazazi wa kizazi hichi wanachangia huo ujinga, mtoto kamaliza chuo Bado unamlea kama wa chekechea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…