Yeah, mi nilienda, nilirudi tako limeongezeka, ah eti tako, Kitambi. Maana nilikuwa nakula kuku tu hadi mama mkwe kuku wake wakaisha, ndipo nikaaga kuondoka.Habari zenu wanajamvi,,
Ni miaka 8 sasa tangu nioane na mke wangu na tuna watoto watatu.,
Kwa ufupi tunaishi kwa amani sana.
Tumejiwekea utaratibu kila mwisho wa mwaka huwa nachukua likizo na tunaenda na familia kijijini kwetu.
Mwaka huu amenikazia amesema inabidi twende nyumban kwao katika kipindi cha likizo(December).
Kusema kweli familia yake(wakwe zangu) wako supportive sana na kusema kweli nawakubali.
Binafsi napata kakigugumizi kumkubalia na kumkatalia wife.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu..
ThnxKutoka kwa experience ya wazazi wangu tukiwa wadogo tulikuwa tunaenda likizo kijijini. Baba alioa kijiji kama cha tano hivi kutoka kijijini kwao. Hivyo likizo tulianzia kijijini kwa kina baba tunapiga kama wiki hivi halafu tunaenda kwa kina mama, baba anakaa kama siku 2 hivi anasepa anatuacha pale kwa kina mama kama two weeks hivi halafu anakuja anakaa 2 days tunanaondoka wote kwenda kijijini kwa baba tena na huko tunakaa kama 3 days then tunaanza safari ya kurudi nyumbani.
[emoji1][emoji1][emoji1]Yeah, mi nilienda, nilirudi tako limeongezeka, ah eti tako, Kitambi. Maana nilikuwa nakula kuku tu hadi mama mkwe kuku wake wakaisha, ndipo nikaaga kuondoka.
Mama mkwe si alikuwa anajipendekeza, mimi nilikuwa sivungi, wakileta kabakuri kamejaa nyama namaliza zote halafu nakunywa na mchuzi..Nimependa hiyo ya kumaliza kuku wa mama mkwe .
[emoji3][emoji3][emoji3]Mm ukweni unilaz hata kwa usiku mmoja asee.. kuna mwamba alienda likizo ukweni kwake usku wamemilza kula wakasambaa kulala usku kabanwa mkojo ile kuamka na kuanza kupapasa ukuta labda soket iko hapa labda iko pale mara kapamia meza ya vyombo walivyolia chakula usku zle kelele za apa na pale na giza lile mama mkwe ikabid aamke ile kuwasha taa anamkuta mwamba maeneo ya daining si lkamtoka neno Baba kama ukushiba ungesema kulko hiki unachofanya mwamba kesho yake aliaga
[emoji23]Yeah, mi nilienda, nilirudi tako limeongezeka, ah eti tako, Kitambi. Maana nilikuwa nakula kuku tu hadi mama mkwe kuku wake wakaisha, ndipo nikaaga kuondoka.