Hivi mwanaume unawezaje kuvaa shati la kitenge au mtelezo?

Hivi mwanaume unawezaje kuvaa shati la kitenge au mtelezo?

Kazini hujawahi vaa sare za ofisi? Ama maadhimisho? Shuleni hukuvaa uniform? Hujawahi vaa jezi ya timu? Hao wapenzi nao ni sare ya penzi lao.

Umeshasema jezi ...

Ila sio haya ya kwa baba ntungulie
 
Enheee! Ukute mdada anaimbaga kwaya bas akienda mbele kuimba jamaaa anabeba mtoto....sijui huwa wanatuonagaje sisi tunaoenda Ibadan tumevaa jeans na jezi ya Real Madrid 🤣
Hua wanajiona kama vile wao ndio wameshika funguo za kuingilia mbinguni huku nyinyi mkisubiri huruma zao ndio nanyi muingie mbinguni.

😀😀
 
Enheee! Ukute mdada anaimbaga kwaya bas akienda mbele kuimba jamaaa anabeba mtoto....sijui huwa wanatuonagaje sisi tunaoenda Ibadan tumevaa jeans na jezi ya Real Madrid 🤣
Haha unaenda na jersey Kanisani? Hamna zuio la dress code?
 
Mambo yetu tuachie wenyewe....

_42795a8a-6ba7-4c80-910d-6808faf8216d.jpeg

Mahondaw
 
Enheee! Ukute mdada anaimbaga kwaya bas akienda mbele kuimba jamaaa anabeba mtoto....sijui huwa wanatuonagaje sisi tunaoenda Ibadan tumevaa jeans na jezi ya Real Madrid [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom