Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
- Thread starter
-
- #21
Kazini hujawahi vaa sare za ofisi? Ama maadhimisho? Shuleni hukuvaa uniform? Hujawahi vaa jezi ya timu? Hao wapenzi nao ni sare ya penzi lao.
Na hapo unakuta wana katoto kadogo, ibadani wanapokezana kukabeba 🤣Uwakute hv wanakaa pamoja ibadani wanashikiana biblia...ibada ikiisha wanapanda Brevis yao🤣
Enheee! Ukute mdada anaimbaga kwaya bas akienda mbele kuimba jamaaa anabeba mtoto....sijui huwa wanatuonagaje sisi tunaoenda Ibadan tumevaa jeans na jezi ya Real Madrid 🤣Na hapo unakuta wana katoto kadogo, ibadani wanapokezana kukabeba 🤣
Hua wanajiona kama vile wao ndio wameshika funguo za kuingilia mbinguni huku nyinyi mkisubiri huruma zao ndio nanyi muingie mbinguni.Enheee! Ukute mdada anaimbaga kwaya bas akienda mbele kuimba jamaaa anabeba mtoto....sijui huwa wanatuonagaje sisi tunaoenda Ibadan tumevaa jeans na jezi ya Real Madrid 🤣
Alafu wewe si askari magereza huvai sare wewe🤣🤣Sasa hao ni wapenz ...
Siku wakiachana sijui wanafanyaje?
Ila Mimi ndo siwezi kuvaa nguo sare na mtu..
Hapo unakuta mshkaji kakariri mistari ya kwenye biblia tena Ile ambayo kila Mtu anajua🤣🤣mfano asiefanya kazi na asileHua wanajiona kama vile wao ndio wameshika funguo za kuingilia mbinguni huku nyinyi mkisubiri huruma zao ndio nanyi muingie mbinguni.
😀😀
Haha unaenda na jersey Kanisani? Hamna zuio la dress code?Enheee! Ukute mdada anaimbaga kwaya bas akienda mbele kuimba jamaaa anabeba mtoto....sijui huwa wanatuonagaje sisi tunaoenda Ibadan tumevaa jeans na jezi ya Real Madrid 🤣
Hamna bn siwezi kwenda nayo lkn pia siwezi vaa hyo shati ya kitenge, natinga cadate na shati kawaidaHaha unaenda na jersey Kanisani? Hamna zuio la dress code?
Jezi za timu ni sare pia, nasi tusiovaa majezi huwaona nyie mnaovaa mawaki kinyama, mandezi flani washamba wa mikumboUmeshasema jezi ...
Ila sio haya ya kwa baba ntungulie
Ukiona MTU anavaa shati la kitenge sawa na mkewe, ujue mke ndio msemaji wa hiyo familia.Huimbi kwaya, hujaoa ..., wala sio mlokole
Unavaaje haya madubwasha?
C huna wa kuvaa nae sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hao ni wapenz ...
Siku wakiachana sijui wanafanyaje?
Ila Mimi ndo siwezi kuvaa nguo sare na mtu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enheee! Ukute mdada anaimbaga kwaya bas akienda mbele kuimba jamaaa anabeba mtoto....sijui huwa wanatuonagaje sisi tunaoenda Ibadan tumevaa jeans na jezi ya Real Madrid [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ma headmaster mmefikiwa
Umesahau. Na sio mwalimu!Huimbi kwaya, hujaoa ..., wala sio mlokole
Unavaaje haya madubwasha?