Hivi mwani ni zao gani?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habarini wadau,

Ninaomba kuuliza MWANI ni zao gani maana nimeanza kulisikia muda na wanalitumia kwanini, ni kwa chakula au nini?

Natanguliza shukrani.
 
Mwani ni zao linalolimwa kando kando ya bahari, hua unatoa 'fibre' ambazo hutumika kuzalisha bidhaa mbali mbali kama zitumukavyo 'fibre' za mkonge. Kuna mTanzania mwenzetu (Bi.Semesi; r.i.p) kama sikosei alishinda nobel prize kwa utafiti wake aliofanya juu ya zao la mwani.
 
Nipo back bencha nasubiri kichwa wa class anyooshe kidole
 
Nijuavyo ulimwa baharini mwanzoni siyo deep, ulimwa ama kuvunwa maji ya bahari yakiwa yametoka
Vijiti kufungwa kamba kwenye hizo kamba ndiyo unapandwa kwa kufungwa hili usiende na maji

 
nijuavyo mimi ni umoja wa miwani
yaani hicho kioo cha jicho moja
 
kumbe l
 
Nilipigaga hiyo deal huko mafia shida Ilikuwa bei yake sokoni

Inatumika kutengeneza manila pia

Ova
 
Nijuavyo ulimwa baharini mwanzoni siyo deep, ulimwa ama kuvunwa maji ya bahari yakiwa yametoka
Vijiti kufungwa kamba kwenye hizo kamba ndiyo unapandwa kwa kufungwa hili usiende na maji

View attachment 640800
Kweli kabisa umenikumbusha zanzibar (bwejuu) ndio ilikua mara yangu ya kwanzakuona hili zao
 
Numeona jamaa anauza mwani na imeshapakiwa tayari kwa matumizi kabisa

Ninunue jamani?
 
Nobel?!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…