Hivi mwani ni zao gani?

Hivi mwani ni zao gani?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habarini wadau,

Ninaomba kuuliza MWANI ni zao gani maana nimeanza kulisikia muda na wanalitumia kwanini, ni kwa chakula au nini?

Natanguliza shukrani.
 
Mwani ni zao linalolimwa kando kando ya bahari, hua unatoa 'fibre' ambazo hutumika kuzalisha bidhaa mbali mbali kama zitumukavyo 'fibre' za mkonge. Kuna mTanzania mwenzetu (Bi.Semesi; r.i.p) kama sikosei alishinda nobel prize kwa utafiti wake aliofanya juu ya zao la mwani.
 
Nipo back bencha nasubiri kichwa wa class anyooshe kidole
 
Nijuavyo ulimwa baharini mwanzoni siyo deep, ulimwa ama kuvunwa maji ya bahari yakiwa yametoka
Vijiti kufungwa kamba kwenye hizo kamba ndiyo unapandwa kwa kufungwa hili usiende na maji

images.jpeg
 
nijuavyo mimi ni umoja wa miwani
yaani hicho kioo cha jicho moja
 
kumbe l
Mwani ni zao linalolimwa kando kando ya bahari, hua unatoa 'fibre' ambazo hutumika kuzalisha bidhaa mbali mbali kama zitumukavyo 'fibre' za mkonge. Kuna mTanzania mwenzetu (Bi.Semesi; r.i.p) kama sikosei alishinda nobel prize kwa utafiti wake aliofanya juu ya zao la mwani.[/QUO
halioti zaidi ya baharini
 
Nilipigaga hiyo deal huko mafia shida Ilikuwa bei yake sokoni

Inatumika kutengeneza manila pia

Ova
 
Nobel?!!!!
Mwani ni zao linalolimwa kando kando ya bahari, hua unatoa 'fibre' ambazo hutumika kuzalisha bidhaa mbali mbali kama zitumukavyo 'fibre' za mkonge. Kuna mTanzania mwenzetu (Bi.Semesi; r.i.p) kama sikosei alishinda nobel prize kwa utafiti wake aliofanya juu ya zao la mwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom