Hivi mwenyekiti wa CCM huwa anajua anachokiongea?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni (Chadema)?
 
Your excellency, President, there is a pertinent question here to respond to!
 
Cc: Amosi Makalla,Mch.Msigwa:

-Elewa pia Mwenyekiti amekata rings huyo.....uhuuuu!! kama hujui?!: Kuwakabili CHADEMA siyo shughuli ya kitoto...kama Magu...alisanda akaamua acheze na Principle of elemination!. . ..!!!@.?Kikwete aliota Makunyanzi mpaka....akamwangukia Mkapa eti amusaidie...hola naye..akawa anatukana watu na kuwaita Malofa...wamegoma kumusikiliza....akaamua aende zake..Bora Mwinyi....ruksa,no stress yeye na Jogging basi.Mkapa amshukuru Nyerere tu Mrema alikaba...inye zote mpaka inya ikawa ya tabu...Sasa Samia ni nani mbele ya People's Power..kaamua liwalo na liwe...Ziara ya Msafara wa magari. .mia 3?Huku Nape.naye. Nchimbi hata hajulikani tena...Pona yao ni kupora tu tena uchaguzi: Ma VEO na WEO hawapatikani Ofisini nchi nzima jombaa kuanzia jana,wanasema kuna kazi maalumu wamepewa.Fanya utafiti huko uliko:"Magufuli hajafa.....Wapinzani tusibweteke"alisikika BON Yai,akinena.
 
Ni Kama kwenye football tu....supastaa akiingia kweny club anauhakika wa namb kuliko mwenyeji....
 
Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni (Chadema)?
Hili nalo Mwenyekiti akalitazame.
 
Hamna kitu kichwani pale, tumepigwa kama Taifa!.
Eti juzi namsikia anawaambia TANAPA waruhusu madini kuchimbwa mbugani kwakuwa Simba na tembo hawayali madini yaliyomo ardhini!!.
Utetezi kama wa mtoto mdogo kabisa, anazijua vizuri hekaheka za migodi kweli huyu??. Si wanyama watahama wote kwa ma blasting.
Hata hivyo Serengeti imo kwenye orodha za urithi wa Dunia chini ya UNESCO, hawawezi ruhusu huo upuuzi!!.
 
Tuvumilie tu kwani sisi wenyewe tuliamua kuishi bila katiba kwa ujinga wetu na kuamini kuwa katiba haituletei chakula mezani!
 
Chadema kama taasisi bado ni wachanga, kama rufaa ya Msigwa imechukua muda mrefu hivyo, kama sio uchanga mi nini?

Kesi ya akina Mdee wameiendesha hovyo hovyo mpaka wanawafukuza. Chama kilochokomaa hakiwezi kufanya uonevu wa waziwazi tena kwa wanawake
 
Ni Kama kwenye football tu....supastaa akiingia kweny club anauhakika wa namb kuliko mwenyeji....
Hapo sasa ndiyo pagumu mukuu...Hivi hao ni Ma-Super Star kweli au?Anzisha uzi tupate mawazo ya wanazuoni hapa...Unaye saliti mapambano na unakimbia unaacha wengine kwenye ulingo wa mapambano,unasitahili kuitwa Super Star ?!!@
 
Chadema kama taasisi bado ni wachanga, kama rufaa ya Msigwa imechukua muda mrefu hivyo, kama sio uchanga mi nini?

Kesi ya akina Mdee wameiendesha hovyo hovyo mpaka wanawafukuza. Chama kilochokomaa hakiwezi kufanya uonevu wa waziwazi tena kwa wanawake
Chama kilichokomaa kinakukolimba na mjadala unafungwa, Mrema alimuonya Kolimba akamwambia ukienda hautarudi, hakusikia na hakurudi.
 
Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni (Chadema)?
Chadema wanaongea hoja zinazohusu ustawi wa watanzania lkn CCM wanaongea hoja za kusifu na mapambio na matumbo yao
 
Chadema kama taasisi bado ni wachanga, kama rufaa ya Msigwa imechukua muda mrefu hivyo, kama sio uchanga mi nini?

Kesi ya akina Mdee wameiendesha hovyo hovyo mpaka wanawafukuza. Chama kilochokomaa hakiwezi kufanya uonevu wa waziwazi tena kwa wanawake
Wewe mbona mumeo kila siku anakubutua makofi lakini upo naye tu?
 
Hamna kitu kichwani pale, tumepigwa kama Taifa!.
Eti juzi namsikia anawaambia TANAPA waruhusu madini kuchimbwa mbugani kwakuwa Simba na tembo hawayali madini yaliyomo ardhini!!.
Utetezi kama wa mtoto mdogo kabisa, anazijua vizuri hekaheka za migodi kweli huyu??. Si wanyama watahama wote kwa ma blasting.
Hata hivyo Serengeti imo kwenye orodha za urithi wa Dunia chini ya UNESCO, hawawezi ruhusu huo upuuzi!!.
Anauwelewa mdogo sana na hii inathibitika through her words
 
Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni (Chadema)?
Mbona kama swali umelielekeza kwa Magufuli vile...
 
Halafu kwanini viongozi wawili wa juu Kaisa wa ccm ni raia wa nchi jirani?
..mwenyekiti ni raia wa nchi ya Zanzibar.
...makamu mwenyekiti ni raia wa Somalia.
 
Hamna kitu kichwani pale, tumepigwa kama Taifa!.
Eti juzi namsikia anawaambia TANAPA waruhusu madini kuchimbwa mbugani kwakuwa Simba na tembo hawayali madini yaliyomo ardhini!!.
Utetezi kama wa mtoto mdogo kabisa, anazijua vizuri hekaheka za migodi kweli huyu??. Si wanyama watahama wote kwa ma blasting.
Hata hivyo Serengeti imo kwenye orodha za urithi wa Dunia chini ya UNESCO, hawawezi ruhusu huo upuuzi!!.
Hela imekata, kachanganyikiwa.

Msiwachukulie poa TanzaniaLeaks
 
Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni (Chadema)?
Wana CCM wa siku nyingi ni wezi mwenyekiti yupo sawa
 
Back
Top Bottom