Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Your excellency, President, there is a pertinent question here to respond to!Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni (Chadema)?
Hili nalo Mwenyekiti akalitazame.Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni (Chadema)?
Tuvumilie tu kwani sisi wenyewe tuliamua kuishi bila katiba kwa ujinga wetu na kuamini kuwa katiba haituletei chakula mezani!Hamna kitu kichwani pale, tumepigwa kama Taifa!.
Eti juzi namsikia anawaambia TANAPA waruhusu madini kuchimbwa mbugani kwakuwa Simba na tembo hawayali madini yaliyomo ardhini!!.
Utetezi kama wa mtoto mdogo kabisa, anazijua vizuri hekaheka za migodi kweli huyu??. Si wanyama watahama wote kwa ma blasting.
Hata hivyo Serengeti imo kwenye orodha za urithi wa Dunia chini ya UNESCO, hawawezi ruhusu huo upuuzi!!.
Subiri kwanza amalize kuzungumza na machifu, huenda kutatua tatizo la utekaji.Your excellency, President, there is a pertinent question here to respond to!
Hapo sasa ndiyo pagumu mukuu...Hivi hao ni Ma-Super Star kweli au?Anzisha uzi tupate mawazo ya wanazuoni hapa...Unaye saliti mapambano na unakimbia unaacha wengine kwenye ulingo wa mapambano,unasitahili kuitwa Super Star ?!!@Ni Kama kwenye football tu....supastaa akiingia kweny club anauhakika wa namb kuliko mwenyeji....
Chama kilichokomaa kinakukolimba na mjadala unafungwa, Mrema alimuonya Kolimba akamwambia ukienda hautarudi, hakusikia na hakurudi.Chadema kama taasisi bado ni wachanga, kama rufaa ya Msigwa imechukua muda mrefu hivyo, kama sio uchanga mi nini?
Kesi ya akina Mdee wameiendesha hovyo hovyo mpaka wanawafukuza. Chama kilochokomaa hakiwezi kufanya uonevu wa waziwazi tena kwa wanawake
Chadema wanaongea hoja zinazohusu ustawi wa watanzania lkn CCM wanaongea hoja za kusifu na mapambio na matumbo yaoKwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni (Chadema)?
Wewe mbona mumeo kila siku anakubutua makofi lakini upo naye tu?Chadema kama taasisi bado ni wachanga, kama rufaa ya Msigwa imechukua muda mrefu hivyo, kama sio uchanga mi nini?
Kesi ya akina Mdee wameiendesha hovyo hovyo mpaka wanawafukuza. Chama kilochokomaa hakiwezi kufanya uonevu wa waziwazi tena kwa wanawake
Anauwelewa mdogo sana na hii inathibitika through her wordsHamna kitu kichwani pale, tumepigwa kama Taifa!.
Eti juzi namsikia anawaambia TANAPA waruhusu madini kuchimbwa mbugani kwakuwa Simba na tembo hawayali madini yaliyomo ardhini!!.
Utetezi kama wa mtoto mdogo kabisa, anazijua vizuri hekaheka za migodi kweli huyu??. Si wanyama watahama wote kwa ma blasting.
Hata hivyo Serengeti imo kwenye orodha za urithi wa Dunia chini ya UNESCO, hawawezi ruhusu huo upuuzi!!.
Mbona kama swali umelielekeza kwa Magufuli vile...Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni (Chadema)?
Hela imekata, kachanganyikiwa.Hamna kitu kichwani pale, tumepigwa kama Taifa!.
Eti juzi namsikia anawaambia TANAPA waruhusu madini kuchimbwa mbugani kwakuwa Simba na tembo hawayali madini yaliyomo ardhini!!.
Utetezi kama wa mtoto mdogo kabisa, anazijua vizuri hekaheka za migodi kweli huyu??. Si wanyama watahama wote kwa ma blasting.
Hata hivyo Serengeti imo kwenye orodha za urithi wa Dunia chini ya UNESCO, hawawezi ruhusu huo upuuzi!!.
Wana CCM wa siku nyingi ni wezi mwenyekiti yupo sawaKwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni (Chadema)?