Hivi Mwezi Ujao Ranking Ya Vilabu Ya CAF, Si Biashara Anaweza Akawa Mbele YaYanga?

Tuambieni kitakachowafanya muwe Mbele ya Biashara, kama haitakuwa uonevu, miaka minne sasa hamjawahi kuvuna point hata moja, hebu njooni na mapovu yenu mtwambie iweje muwe Mbele ya Biashara kwenye Ranking ya CAF ya Vilabu?
Nenda kwa jirani ukajisaidie....naona umebanwa.
 
Mbona Uto leo wanafuraha kisa wao ndio wameingiza mashabiki wengi.
Uto Kama Uto tumefurahi mara 27 zaidi ya Klabu yeyote ile, Aliyezoea kufurahi mara zote hizo ni lazima awe mwenye furaha wakati wote.

You are Welcome!
 
Biashara wakifanikiwa kuingia makundi watapata point ila wasipoingia makundi watakuwa hawana point kabisa.
Unajua hata Yanga Kwa sasa Hana point, Ila Biashara amemzidi Kwa kushinda mechi 2 za mtoano Kwa hiyo unafikir Nani atakuwa Mbele ya mwenzake?
 
Uto Kama Uto tumefurahi mara 27 zaidi ya Klabu yeyote ile, Aliyezoea kufurahi mara zote hizo ni lazima awe mwenye furaha wakati wote.

You are Welcome!
Hahahaha sawa sawa
 
Unajua hata Yanga Kwa sasa Hana point, Ila Biashara amemzidi Kwa kushinda mechi 2 za mtoano Kwa hiyo unafikir Nani atakuwa Mbele ya mwenzake?
Nenda ukajifunze namna 5 year club ranking inavyofanywa. Point inahesabiwa baada ya kuingia hatua ya makundi. Ukiingia hatua ya makundi shirikisho na ukashika nafasi ya mwisho kwenye kundi unapata point 0.5 na endapo utashika nafasi ya tatu unapata point 1. Ukiweza kuingia robo fainali (nafasi ya kwanza au ya pili) unapata point 2.. ukiingia nusu fainali unapata point 3 ukiwa mshindi wa pili unapata point 4 na ukibeba kombe unapata point 5. Hizi point zinazidishwa kwa tano ndio unapata point kamili kwa msiimu husika.
Ndio maana namungo wwliongezea taifa point kwavile tu waliingia hatua ya makundi.

Kwahiyo Biashara hata kama wameshinda mechi zao mbili bado hana point yoyote mpaka atakavyofuzu kuingia hatua ya makundi. 5 year club ranking sio swala kushinda tu bali inaanzia kuhesabika baada ya kuingia hatua ya makundi
 
Tuambieni kitakachowafanya muwe Mbele ya Biashara, kama haitakuwa uonevu, miaka minne sasa hamjawahi kuvuna point hata moja, hebu njooni na mapovu yenu mtwambie iweje muwe Mbele ya Biashara kwenye Ranking ya CAF ya Vilabu?
Halafu hiyo Biashara yako ikiwa mbele kwenye hizo ranking za CAF ya Vilabu, kutaleta madhara/athari kwa timu kubwa kama Yanga?

Hakika Ismail Aden Rage is a genius!
 
Tuambieni kitakachowafanya muwe Mbele ya Biashara, kama haitakuwa uonevu, miaka minne sasa hamjawahi kuvuna point hata moja, hebu njooni na mapovu yenu mtwambie iweje muwe Mbele ya Biashara kwenye Ranking ya CAF ya Vilabu?
Ndiyo Ukweli Wenyewe
 
Je, umezingatia pia hizo 5 years, Yanga Hana point hata moja aliyoingiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…