The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Naona kama bwana Mkumbo Madelu aka Mwigulu Nchemba anaitwa ICC soon. Sijui kasomea nini lini na wapi hadi awe zoba na zwazwa hivi?
Hivi, kwanini haoni kuwa amemua kujitupa kwenye tanuri alilokoka Samuya na Kikwkwekwe?
Msaidieni jamani wenzake mliomo humu.
Niwasilishe.