The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 Nov 28, 2025 #1 Naona kama bwana Mkumbo Madelu aka Mwigulu Nchemba anaitwa ICC soon. Sijui kasomea nini lini na wapi hadi awe zoba na zwazwa hivi? Hivi, kwanini haoni kuwa amemua kujitupa kwenye tanuri alilokoka Samuya na Kikwkwekwe? Msaidieni jamani wenzake mliomo humu. Niwasilishe.
Naona kama bwana Mkumbo Madelu aka Mwigulu Nchemba anaitwa ICC soon. Sijui kasomea nini lini na wapi hadi awe zoba na zwazwa hivi? Hivi, kwanini haoni kuwa amemua kujitupa kwenye tanuri alilokoka Samuya na Kikwkwekwe? Msaidieni jamani wenzake mliomo humu. Niwasilishe.
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,042 Reaction score 13,383 Nov 28, 2025 #2 Kuna kashfa yake huku anakula vizibo
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Nov 28, 2025 #3 Raisi wa mawe mpaka kuwa waziri wa vitu.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Nov 28, 2025 #4 Fbn said: Raisi wa mawe mpaka kuwa waziri wa vitu. Click to expand... ππππ
T The lariat JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 1,351 Reaction score 1,928 Nov 28, 2025 #5 PhD ya upishi. Wenye vituovya mafuta wenyewe walituambia vituo vilivyochomwa ni 41 tena wakatupa msamiati wa COCO, CODO, DODO. leo anaibuka mtu aliyeiba kura anaropoka utadhani yuko kwenye kijiwe cha drafti....
PhD ya upishi. Wenye vituovya mafuta wenyewe walituambia vituo vilivyochomwa ni 41 tena wakatupa msamiati wa COCO, CODO, DODO. leo anaibuka mtu aliyeiba kura anaropoka utadhani yuko kwenye kijiwe cha drafti....
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 30, 2025 #6 Muda huongea... Cc: Mahondaw