pole kwa iyo changamoto. wengi waliofanikiwa kimaisha na kielimu wamepitia changamoto kama izo au zaidi ya izo.
kama unafanya vizuri hauna budi kuendelea kusoma, wako ndugu, jamaa na marafiki.. jarib kushirikisha watu wako wa karibu unaowaamini wanaweza kukusaidia, jarib kuangalia means za mkopo, kupitisha bakuli nk.. funga macho kdg ya aibu! siku ukiyavuka utasahau. na hata siku moja usimchukue, kumdharau wala kumtenga mzazi, itakuasaidia wewe mwenyewe kua na amani ya moyoni "ambayo hainunuliwi na fedha wala mali".