Hivi mzazi anapokataa kukulipia Ada ufanye nini

Hivi mzazi anapokataa kukulipia Ada ufanye nini

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,782
Reaction score
3,199
Unajitaidi kupiga msuli na unafaulu vizuri lkn mzazi anakuambia sina ela ya kukupeleka au kuendelea na chuo inabidi urudi nyumbani ungekua wewe ungefanya nini
 
Kuwa specific ulichoandika hakina macho wala masikio.
 
Ningetulia ningefanya mambo mengine kabisa maana mzee hana mpunga ningebaki kuomba loard board na appeal km nikikosa
 
Unajitaidi kupiga msuli na unafaulu vizuri lkn mzazi anakuambia sina ela ya kukupeleka au kuendelea na chuo inabidi urudi nyumbani ungekua wewe ungefanya nini

Kama mwanamke tafuta kidume akugonge mimba
Na
Kama mwanaume kua mkabaji
 
Unajitaidi kupiga msuli na unafaulu vizuri lkn mzazi anakuambia sina ela ya kukupeleka au kuendelea na chuo inabidi urudi nyumbani ungekua wewe ungefanya nini

Kama mwanamke tafuta bwana akugonge mimba
Na
Kama mwanaume kua kibaka tu
 
Hujafafanua vizuri kukataa kwa namna gani. Kuna kutokuwa na hela ya kumudu gharama. hiyo siyo kukataa ni masuala ya uwezo. Kuna kugoma kukulipia kwa sababu mnazozijua wenyewe au kuna mambo mmepishana.
 
pole kwa iyo changamoto. wengi waliofanikiwa kimaisha na kielimu wamepitia changamoto kama izo au zaidi ya izo.
kama unafanya vizuri hauna budi kuendelea kusoma, wako ndugu, jamaa na marafiki.. jarib kushirikisha watu wako wa karibu unaowaamini wanaweza kukusaidia, jarib kuangalia means za mkopo, kupitisha bakuli nk.. funga macho kdg ya aibu! siku ukiyavuka utasahau. na hata siku moja usimchukue, kumdharau wala kumtenga mzazi, itakuasaidia wewe mwenyewe kua na amani ya moyoni "ambayo hainunuliwi na fedha wala mali".
 
Back
Top Bottom