Hivi Mzee Baba huwa anasoma comments kule twitter baada ya kuandika tweets zake?

Jamii forum inawatumiaji wengi kuliko Twitter TZ hilo ni kundi chache sana la watu wasiojitambua na sio watz wengi wana hasira,
JPM is the choosen 1 tutakuja kukili akimaliza muda wake

Unaweza kuleta takwimu kuwa jf ina watumiaji wengi kuliko Twitter kwa hapa Tz?
Jf ina wanachama waliosajiliwa around 550K, na wengine wana multiple Id!
Meko kwa mfano kule twitter ana followers zaidi ya 900K na zaidi ya 85% ni watz!
Japo wapo wengine wanatumia Jf bila kujisajili vile vile wapo watu wanaotumia twitter na wala hawana habari na Jf!
Sasa hebu leta takwimu zisizo na mashaka kuwa pengine kwa siku jf inatembelewa zaidi na watz kuliko twitter, au uthibitisho mwingine kuwa jf inaongoza kwa watumiaji wengi kuliko twitter!
 
Upuuzi mtupu. Duniani hapa hata Yesu, mtume walisemwa ndio itakuwa Magufuli. Acha stress za kukosa ruzuku, mfanye kazi sasa.
 
Jamii forum inawatumiaji wengi kuliko Twitter TZ hilo ni kundi chache sana la watu wasiojitambua na sio watz wengi wana hasira,
JPM is the choosen 1 tutakuja kukili akimaliza muda wake
siyo kweli jf ina members wangapi?kama kigogo na followers 350,000 ina maana gani hiyo? kuna zaidi ya watanzania million moja twitter jamii forums haina hata members 500,000 hapa na kuna watu wana account zaidi ya 10
 
Upuuzi mtupu. Duniani hapa hata Yesu, mtume walisemwa ndio itakuwa Magufuli. Acha stress za kukosa ruzuku, mfanye kazi sasa.
jibu zuri sana ila nafkri wapambe wake waache kuhangaika na wakosoaji wake maana hakuna atakayekubalika na wote huwezi lazimisha hata Mungu kuna watu hawamkubali
 
pole sana mkuu, kwahiyo hayo matusi yana tija gani kwa taifa katka wakati huu?? Mambo mengine ni kufikiri kwa miguu tu unapata jibu mkuu,😃
 
Usituletee usimba na uyanga hapa sisi sote ni watanzania na yule siyo rais wa ccm
 
Who care!
 
Weka screen shot
 
Si ndiyo maana alisema anatamani malaika washuke na kuzima mitandao.
 
Anasoma vizuri sana huoni Jana iliandikwa "Lawlings" baada ya mdau kuwashtua kwa comment wakaifuta na kutweet nyingine ina Rawlings..japo account anairun Msigwa and Co.
Halafu editor wa hiyo page inabidi amcheki Rasi Simba
 

Inakuaje Kuna nyuzi(threads) humu zina views Million 1 na zaidi ?
 
Wm Wengi.ukiwaangalia unakuta ni mashoga na wachawi,
Waliotolewa kwenye mishahara hewa, wachukua tenda za uongo, wazembe kazini, vyeti fake, na mafisadi.
Kwa kuwa wana uhuru wa kupumua kupitia twiter basi wacha wapumue, ila ujumbe ple unapotaka kwenda basi huwa unafika na kupokelewa.
 
Watu wa mtandaoni waone hivyo hivyo siku nasoma comments wakati naangalia press ya Mbowe ndio nilielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…