Hivi Mzee Baba huwa anasoma comments kule twitter baada ya kuandika tweets zake?

Eti leo alimwandika Rais wa Ghana "Lawlings" badala ya "Rawlings"(R.I.P)

Watu wakampa za Uso akadelete tweet fasta...nikasema Mtu unakuwaje Kiongozi mkubwa wa nchi halaf huna heshima kwa majina ya Marais wenzio? Kwa Hakika hapa nchi ilipatikana
 
Ila sasa tukirudi kwenye siasa vijana wanaoishambulia chadema mitandaoni ni wale tu wanaoliipwa wana group lao WhatsApp admin wao anawafundisha wawe wanareply negative comment za magufuli na kusifia zaidi kwenye page zenye wafuasi wengi Facebook
 
Sisi watanzania tulio mamilioni tunavuta mizani hiyo kwa kura zetu kwenye box. 12.5milioni kwa 1.9 milioni. Ni zaidi ya equlibrium. Nyie endeleeni kutaka ku-balance equilibrium kwenye twitter mlio citizen wa twitter. Watanzania kwa mamilioni yetu tunaendelea kwa furaha na Mheshimiwa wetu JPM mitaani
 
Jamii forum inawatumiaji wengi kuliko Twitter TZ hilo ni kundi chache sana la watu wasiojitambua na sio watz wengi wana hasira,
JPM is the choosen 1 tutakuja kukili akimaliza muda wake
The guy is sick! Believe me or not!
 
Yaani......huyu mtu utafikiri haji kufa na kuoza!

Viongozi wa dini wanamuangalia tu anavyotuaribia nchi yetu!
 
Nyani ghabo anakuita uende kwenye uzi aliokuanzishia WEWE na raia wenzako wa 'Jamhuri ya Twitter'. Nakuhurumia unavyoshinda mitandoni ukitoa povu za pumba
 
Inakuaje Kuna nyuzi(threads) humu zina views Million 1 na zaidi ?

Thread ili ifikishe viewers Milion moja humu inachukua muda gani, na inakuwa ya content ya namna gani..!?
 
Jamii forum inawatumiaji wengi kuliko Twitter TZ hilo ni kundi chache sana la watu wasiojitambua na sio watz wengi wana hasira,
JPM is the choosen 1 tutakuja kukili akimaliza muda wake
Hayo ni kwa wanufaika lakini
 
Jipeni moyo wa ujinga hivyo hivyo , mnamproteza jiwe. siku akija kujua ukweli atakatika kama barafu
 
Endeleeni kushindana twita mtashika dola.
Trump mwenyewe mnaemlilia baada ya kuliwa kichwa, matamko na amri zake anazitoa kupitia Twitter.

Sema ni ushamba wetu tu kuamini kwamba Twitter siyo platforms sahihi kwa viongozi na watawaliwa hapa bara la giza!
 
Wanapoteza muda kupiga majungu hakuna free lunch watu wafanye kazi, zipo shughuli nyingi tuu za kufanya kukaa mitandaoni na kutukana hakusaidii kitu.
 
Kwani umeshafanya 'Utafiti' wowote ule wa 'Kisayansi' na Kugundua kuwa Binadamu akiwa anasemwa sana / anachukiwa mno basi hufariki dunia?
 
“You will never reach your destination if you stop and throw stones at every dog that barks.”
Hao ni mbwa tu, waache wabweke💨🐕
 
Thread ili ifikishe viewers Milion moja humu inachukua muda gani, na inakuwa ya content ya namna gani..!?
Kwa mtazamo wangu, ni zile dizaini ya ile nyuzi ya 'kula tunda kimasihara' huwenda imefika viewers milion na ushee!
 
Trump mwenyewe mnaemlilia baada ya kuliwa kichwa, matamko na amri zake anazitoa kupitia Twitter.

Sema ni ushamba wetu tu kuamini kwamba Twitter siyo platforms sahihi kwa viongozi na watawaliwa hapa bara la giza!

Huyo Trump mshinda twita ameshinda?
 
Huyo Trump mshinda twita ameshinda?
Anakomaa na mahakama... btw nilichotaka kumanisha Twitter ni platforms nzuri kwa wanasiasa wa leo, hata huyo Magufuli wako 'alijishaua' kuzima mitandao akasahau kuna siku atatweet na kutaarifu umma kuhusu jambo lake.
 
😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…