Hivi Mzee Joseph Sinde Warioba hana watoto wa kike ambao hawajaolewa?

Hivi Mzee Joseph Sinde Warioba hana watoto wa kike ambao hawajaolewa?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
angaaa ningempata mmoja kwa kweli. huyu mzee ana akili sana sijui watoto wake wakoje ikiwa anao. nilitamani hata nione mtoto mmoja wa kike kutoka kwake niwe tu najisifia kuwa Mzee Warioba ni Mkwe wangu.

Baba yangu ni CCM ambaye yupo kwenye system muda mrefu. huwa anaumia tu lakini anasema hawezi kuzungumza kitu. akianza kuzungumza hatodumu watamuondoa. na watanzania watamsahau haraka tu baada ya week moja wataendelea na shughuli zao. angalau Warioba anaogopwa sababu naye ana ujua mfumo na kuna watu wake wapo kwenye mfumo ambao wana mheshimu hawawezi ruhusu aondolewe.

Mungu ibariki Tanzania.
 
angaaa ningempata mmoja kwa kweli. huyu mzee ana akili sana sijui watoto wake wakoje ikiwa anao. nilitamani hata nione mtoto mmoja wa kike kutoka kwake niwe tu najisifia kuwa Mzee Warioba ni Mkwe wangu...
Kuwa kwenye mfumo hakukupi guarantee ya mfumo kutokukuondoa...
 
Back
Top Bottom