Hivi mzee majuto jina la ujanani aliitwa nan?

Hivi mzee majuto jina la ujanani aliitwa nan?

majah moneh

New Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
3
Reaction score
1
Hiv ni nani ambaye amewahi kumuona Mzee majuto wakati akiwa kijana au ameanza kuigiza ameshakuwa mzee
 
Mzee wa Makorora Tanga Jirani na Police Post. Makorora wadekaaa...
 
Hiv ni nani ambaye amewahi kumuona Mzee majuto wakati akiwa kijana au ameanza kuigiza ameshakuwa mzee
Alikuwa anatumia jina la King Majuto, enzi hizo za vikundi vya maigizo kama Bima Mordern Taarabu, DDC Kibisa, Makutano Cultural Troupe n.k. akiwa na kina Batholomeo Milulu, Branco Minyugu, Nyonganyonga n.k...
 
Back
Top Bottom