Hivi Mzumbe University siku hizi mbona haivumi?

uandishi wako uko kama wa face book. usiandike kihuni kwenye jf badilisha jinsi unavyo andika. sawa
 
Mwambio huyo! Asiwe anaropoka ropoka tu bila mpangilio wa kihesabu! Mana anatushusha hadhi hadi sisi wanafunzi wa hapa kibaha sec tunaotegemea kwenda udsm next year.

heheheeee, karibu sana udsm. Piga book usisikilize maneno ya watu. Huyo jamaa wa ajabu sana.
 
Senetor upo wapi? Hebu njoo jibu maswali ya hawa jamaa...
 
Mwambio huyo! Asiwe anaropoka ropoka tu bila mpangilio wa kihesabu! Mana anatushusha hadhi hadi sisi wanafunzi wa hapa kibaha sec tunaotegemea kwenda udsm next year.

Haya ona sasa na huyu...Aisee!! Hv watanzania mna nini jamani? Hv na wewe unajiona umechangia kama great thinker? Jamani narudia tena tujaribu kuwa serious na tuongeze umakini kidogo...Hii ni hatari kwa taifa letu,ukitaka kujua nchi ilivyo kwenye hali tete kaa hapa JF uone michango ya baadhi ya wanachama wa hili jukwaa ambao hawajui kwanini wameingia humu...Tuongeze umakini kidogo basi....
 

Mkuu nadhani wa kwanza kumlaumu ni huyo mleta thread aliyejisifu kuwa ni mwanafunzi wa UDSM...Narudia tena na wala sifuti kauli tena naandika kwa herufi kubwa...KAMA WANAFUNZI AU WAHITIMU WA UDSM NDIYO WAKO HIVI,BASI UDSM IMEBAKIA JINA NA MAJENGO TU...sitegemei mhitimu au mwanafunzi wa UDSM atoe uharo kama huu ni majitaka haya.....
 
heheheeee, karibu sana udsm. Piga book usisikilize maneno ya watu. Huyo jamaa wa ajabu sana.

Mkuu usisifie ujinga,huyo jamaa kwa taarifa yako huko UDSM hafiki na atapasikia kwenye redio tu...
 
Mkuu hata mimi nimemwambia,kama ndio wasomi wa UDSM wako hivi basi UDSM imekwisha kabisa na kubakia jina tu...Hajui kujenga hoja,hana mtiririko mzuri ili mradi kaandika tu.....

nimejaribu kumkumbusha mara kwa mara kuhusu uandishi wake ameshindwa kubadilika.
 
nimejaribu kumkumbusha mara kwa mara kuhusu uandishi wake ameshindwa kubadilika.

Ha ha ha ha ha ha ha ha...mkuu kwa hiyo huyu jamaa ni sikio la kufa?
 

Tufanye juhudi tufike angalau kwenye top 500 in the world. Habari ya kulinganisha vyuo vyetu nchini wakati bado tuko nyuma sana haitusaidii kwa sasa hivi. Wakati mwingine ukiwa unatembelea nusu kandambili halafu mwenzio yuko peku unaweza kujiona umefika lakini wenye macho ya kuona mbali bado wataona wote hali yenu ni mbaya!

Kila mtu anaweza kupenda chuo kwa sababu zake mwenyewe ambazo zinaweza kuwa ni za kweli au sio kweli lakini hauhitaji kushindana na watu au kuusadikisha umma kwamba unachofikiria ni sahihi. Mimi nimesoma Mlimani degree ya kwanza, na nilikuwa naona udsm ndio mwisho wa yote, ha ha haaa, inabidi nicheke kidogo. Sasa hizo zilikuwa ni enzi za giza kwangu. Lakini baadaye nilienda kufanya high degrees vyuo vingine nje ya nchi, lol, hapo ndipo nilipojifunza kuna vyuo duniani vimesimama na vinafanya vitu vya kweli na vinavyoonekana, yaani vyuo viko "smart" kupita maelezo, sio vyetu ambavyo kwa sehemu kubwa vinapolitiki tu. Mimi kwa mfano ukiniuliza hata kama nasinzia ghafla chuo gani unakipenda duniani? Nakujibu kwanza kabisa MIT halafu naishia na Cambridge. Hata kama nilisoma Mlimani sikitaji ng'o, labda kama nataka kuingiza siasa ndio naweza kukuambia UDSM, (tafadhali mie sio magamba). Lazima siku zote uwe na uchu wa kusonga mbele sio kutembea unarudi nyuma.

Angalia world rankings hapa kama utaona kitu kinachofanana na UDSM au Mzumbe, usipoona au ukikuta chuo unachokisifu kipo mbali, basi fanya juhudi ukisaidie ili kiwe hata kwenye top 500.

World's Best Universities; Top 400 Universities in the World | US News
 

Confidensi ndizo zinazoleta umakini bro! So nakumwia kuwa MAKINI brother mbona unatakakuleta ubishi tena??!
 
mathematics question!


one poultry farm in
Kibaha secondary
which produces three
types of chicks , had its
six month report which
revealed that out of 126 of its regular customers,
65 bought broilers, 80
bought layers and 75
bought cocks, 45 bought
layers and cocks, 35
bought broilers and cocks , 10 bought
broilers only, 15 bought
layers only and 6 bought
cocks only, 6 of the
costemers did not show
up. (a) how many customers bought all
three products? (b) how
many customers bought
exactly two of the
farm's products?
 

we jamaa unafaa kuwepo kwenye majukwaa ya siasa.
 
kwahiyo tabia ya mtu ni chuo anachosoma au mtu mwenyewe? Mbona sijakuelewa. Kwanini unahukumu kitabu kwa kukiangalia kasha tu? Kisome ndio ujue kina nini.
 
Mkuu usisifie ujinga,huyo jamaa kwa taarifa yako huko UDSM hafiki na atapasikia kwenye redio tu...

we jamaa wa ajabu sana. Kwanini umwambie mwenzako hivyo? Ni ndoto zake, na sio zako. Mbona we kigeugeu hivi? Yaani mipango yake ndio unajidai kuipangua, wewe nani? Mkuu hebu kuwa mpole, JF SIO SEHEMU YA KUTOLEA HASIRA ZAKO.
 
Ulianza vizur lkn mwisho umetumia masaburi kumalizia mada.Mzumbe bado na kinaendelea kuwa chuo bora chenye kiwango kidogo sana cha vilaza ukilinganisha na vyuo vingne kama IAAA,UDOM na vyuo vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…