Hivi Mzumbe University siku hizi mbona haivumi?

Hivi Mzumbe University siku hizi mbona haivumi?

we jamaa wa ajabu sana. Kwanini umwambie mwenzako hivyo? Ni ndoto zake, na sio zako. Mbona we kigeugeu hivi? Yaani mipango yake ndio unajidai kuipangua, wewe nani? Mkuu hebu kuwa mpole, JF SIO SEHEMU YA KUTOLEA HASIRA ZAKO.

Achana nae huyo rafiki! Labda boom hajapata ndomana analeta hasira zake hadi huku.
 
Achana nae huyo rafiki! Labda boom hajapata ndomana analeta hasira zake hadi huku.

wewe dogo em nenda kafue uniform zako za shule maana unaongea ujinga tu,badala uulize vitu vya msingi unaaza kushadadia mambo ya vyuo,we hata boom unajua ni nini?
 
hivi kunatofauti gani
kati ya bachelor of
science in computer
science na bachelor of science with computer
science? ? ? Na ipi ndo
ipo fresh?
 
We bwegeee na
Wewe unaongea nini sasa? Hv mbona unakuwa kama siyo gumegume mbegu fupi?? Nanialikwambia uniform zinafuliwa siku nzima! Au hiyo kazi yako ya udobi ndo inayokunyevua nyevua huko??? Unajifanya unajuaaa BOOM Wakati unalisikia tu kwenye mchogo wako huo linapita! Haya hebu mwenzetu unayejua maana ya boom ueleze jamii sasa ili wajue kama na wewe unalijua BOOM KICHAAA WEWE,

sibishani na mtoto wa sekondari mimi,maana hata njia za kudahiliwa chuo uzijui,akili yako ya kufikilia kulishwa na baba kawapelekee wawaza NECTA wenzako usisambaze utapishi kwa wasomi wa elimu ya juu na wafanyakazi.
 
hivi kunatofauti gani
kati ya bachelor of
science in computer
science na bachelor of science with computer
science? ? ? Na ipi ndo
ipo fresh?[/QUOT
haya ndio maswali ya kuuliza kwa mtu mwenye akili changa kama wewe ngoja ujibiwe....tofauti fanya uka-google maana majibu yote yapo kule ila kwa hizo zote bongo hazina deal sanasana upate gpa kubwa ubaki chuo uwe tutorial assistant.
 
Duuuuu! ! ! ! Vipi kuhusu computer engineering sasa?
 
hivi kwa MFANO mtu amemaliza PCM alafu ukapata div 1 ya 3, au 1 ya 4 au 1 ya 5, mtu huyu anaweza kuapply Bsc.in medicine pale MUHAS? mtamshauli vp kama yeye anapenda kusomea kozi hyo lakini akusoma PCB ?
 
Duuuuu! ! ! ! Vipi kuhusu computer engineering sasa?

dogo kama unataka piga computer eng and IT ila siku hizi bachelor za computer sio deal kwa sababu post za kazi ni chache halafu wasomi wengi na bongo teknolojia sio kivile....kuna vitu kama CISCO na CCNA hizi ni certification ambazo hata mtu mwenye diplo akiwa nazo anakuwa bora kuliko mwenye bachelor.....zinatolewa thru online examinations pale UCC.
 
hivi kwa MFANO mtu amemaliza PCM alafu ukapata div 1 ya 3, au 1 ya 4 au 1 ya 5, mtu huyu anaweza kuapply Bsc.in medicine pale MUHAS? mtamshauli vp kama yeye anapenda kusomea kozi hyo lakini akusoma PCB ?

hey MUHAS na chuo kingine chochote cha medical school wanakuwa na requirements zao ikiwemo kusoma biology,chemistry na physics ila mtu aliye soma CBG nae ruksa,kama haujasoma hayo hata ukiwa umefaulu vp hawakukubali.
 
hivi kunatofauti gani
kati ya bachelor of
science in computer
science na bachelor of science with computer
science? ? ? Na ipi ndo
ipo fresh?[/QUOT
haya ndio maswali ya kuuliza kwa mtu mwenye akili changa kama wewe ngoja ujibiwe....tofauti fanya uka-google maana majibu yote yapo kule ila kwa hizo zote bongo hazina deal sanasana upate gpa kubwa ubaki chuo uwe tutorial assistant.

dah!watz kwa kwa kukatshana tamaa ha2jambo.
 
inchi gani ni nzuri kwa kusomea upailoti (aeronautical engineering) ??
 
Ninapost kwenye hii thred kwa masikitiko makubwa
1. Ww ni mshamba sana
2. Inaonekana ww ni miongoni mwa wale waliokua wasongo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nikiwa na maana primary umesoma sitimbi, sekondari mirambo boys na advance ni Mzumbe so umepungukiwa kitu kinaitwa exposure. Ulivyofika mjini umeshangazwa sana na hiyo mall ukliyoikuta mlimani si ndiyo.
3. Kwanza ni coz gani hiyo inayokupa kiburi cha kucompare na mzumbe?
4. After all kama ungekua na cream division basi mzumbe wangekuchukua bila shida
5.Wenzako wanaojiamini miaka hiyo walikua wanaomba chuo kimoja ndugu yangu na wanapata.
6. Kakojoe ukalale usitusumbue hapa na uvyuo vyuo wako hapa.
7. Mtafute Marketing meneja wa SBL ndo utajua makampuni yanafuata bongo yako ama jina la chuo.
 
hey MUHAS na chuo kingine chochote cha medical school wanakuwa na requirements zao ikiwemo kusoma biology,chemistry na physics ila mtu aliye soma CBG nae ruksa,kama haujasoma hayo hata ukiwa umefaulu vp hawakukubali.

Je hata kuapply masters kwa cheti cha engineering wana bana?
 
Ninapost kwenye hii thred kwa masikitiko makubwa
1. Ww ni mshamba sana
2. Inaonekana ww ni miongoni mwa wale waliokua wasongo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nikiwa na maana primary umesoma sitimbi, sekondari mirambo boys na advance ni Mzumbe so umepungukiwa kitu kinaitwa exposure. Ulivyofika mjini umeshangazwa sana na hiyo mall ukliyoikuta mlimani si ndiyo.
3. Kwanza ni coz gani hiyo inayokupa kiburi cha kucompare na mzumbe?
4. After all kama ungekua na cream division basi mzumbe wangekuchukua bila shida
5.Wenzako wanaojiamini miaka hiyo walikua wanaomba chuo kimoja ndugu yangu na wanapata.
6. Kakojoe ukalale usitusumbue hapa na uvyuo vyuo wako hapa.
7. Mtafute Marketing meneja wa SBL ndo utajua makampuni yanafuata bongo yako ama jina la chuo.

we ndio lishamba la washamba,nguruwe mkubwa wewe,hasira zako za kuishia kusoma diploma hapo mzumbe ndo unakuja kuzimalzia kwangu,hvi unafikiri nchi hi kuna msomi asie taman kuwa na gamba la udsm au unaongea 2 ili nawe uonekane umechangia..kibudu mkubwa wewe
 
Je hata kuapply masters kwa cheti cha engineering wana bana?

kama unataka udaktari huna haja ya kuuvizia mpaka upate masterz ukiwa 4m4 we nenda kapige diplo mtwara maana kuna chuo kinatoa hizo ishu,ila sijawahi kusikia mtu alie ishiwa ideas mpaka masterz ya engineering anaamua kwenda kuapply bachelor ya udaktari dah huyo bora akawe ticha wa primary.
 
Kama bwana mdogo amechemka basi wewe utakuwa kuni zinazoungua kumfanya mtoa hoja achemke.
Nadhani ulitakiwa kama unania ya kumkosoa mtoa hoja uwe na strong points za kutetea hoja yako kwa maana uwe CRITIC.Sasa hicho ulichoandika hapo kwenye RED ni vague statements.Inaonyesha jinsi gani unatetea hoja kwa mapenzi binafsi pasipo kudadisi nini kiini cha hoja.
Mtoa hoja ametoa uchambuzi wake usio na evidence na wala chanzo cha utafiti ,pia majibu yake ni Biased.Ila sio ticket ya kupinga 100% alicho ainisha.
Kwa takwimu za Ranking Web of World Universities ambazo zimetolewa 31/7/2011 UDS ni chuo cha 3,438 duniani wakati Mzumbe ni chuo cha 10,107.Tena haitoshi kwa Tanzania Mzumbe katika Rank hiyo Kipo Nyuma ya SUA,Hubert Kariuki,Open University of Tanania.
Ubora wa chuo unapimwa kwa vitu vingi sana ,Machapisho ya Chuo-kutokana na tafiti mbalimbali,Wahitimu wanaomaliza (Competence yao Global),links mbalimbali za chuo,Uwezo wa walimu wa chuo(qualification zao) na staff wengine nk..
Katika vigezo hivyo-sitapenda kukuchosha sana ila hakuna hata kimoja ambacho Mzumbe inaweza ikaizidi UDSM.Ukitetea kuhusu competence ya wahitimu utakuwa unajidanganya kwa kuwa kwa % UDSM itakuwa juu sana kutokana na kuwa inawanahitimu wengi wengi zaidi ya Mzumbe Kuanzia Undergraduate mpaka Postgraduate (Master & PhD) ,hivyo kigezo hicho ukilinganisha kwa % Mzumbe itakuwa imeachwa mbali sana,Pia Mzumbe ni chuo kichanga ukilinganisha na UDSM kwa kigezo hicho.Na hata kwa uhalisia Global wahitimu wa UDSM bado wapo compitance zaidi ya Mzumbe-(Mifano hai ipo ,Dr.Asha Rose Migiro,Prof. Baregu,Prof Lipumba,Prof Pius Yanda,Dr Azaveli Rwaitama n.k-hawa ni baadhi ya watu wanao compete global na ni mazao ya UDSM)
Nimekupa angalizo kuhusu Competence makusudi kwa sababu ndio hoja ambayo wengi wanaitetea wakati si kweli.

Angalau ungekuja na hoja kuwa wanafunzi wanaomaliza MZUMBE-BAF wakienda kufanya mitihani ya ACCA wanahitimu kwa % kubwa kulinganisha na wanafunzi wa B-COM UDSM hapo ungekuwa umejenga hoja kuliko hizo Vegue statement kwenye Red

Wewe endelea kuamini hivyo unavyoamini lakini tuna wasomi wengi ambao ni mzigo mkubwa katika jamii na asilimia 90 ya hao wametoka UDSM(orodha ya mafisadi ya Dk Slaa). Tokea UDSM imekuepo imesaidia nini katika kufuta umaskin wa watanzania. Mambo siku hizi yanabadilika, hatuwezi kuendelea kuamini katika historia. UDSM kuna baadhi ya maeneo wako smart lakini vilevile baadhi ya maaeneo limebaki jina tu.
 
we ndio lishamba la washamba,nguruwe mkubwa wewe,hasira zako za kuishia kusoma diploma hapo mzumbe ndo unakuja kuzimalzia kwangu,hvi unafikiri nchi hi kuna msomi asie taman kuwa na gamba la udsm au unaongea 2 ili nawe uonekane umechangia..kibudu mkubwa wewe

hata mimi nilikuwa natamani kusoma ud lakini kwa fani ya enginiya tu,pale nilipobadili mawazo ya kuwa eng basi nikatoa ud as my 1st priority na kuplug mzumbe.Mtu anapokuwa mchanga kwenye game la elimu=kozi anaweza akatamani hiko,baadae pale anapojitambua na kujua anatakiwa kusoma nini ili awe nani....basi ndoto za UD uwa zinapotea automatic.kwa mfano kozi kama za medicine,baf n.k UD hazipo,sasa kama mtu utaongozwa na makelele ya watu kama wewe basi mtu kama huyu upo uwezekano mkubwa za kuharibu ndoto.
 
Back
Top Bottom