Hivi Mzumbe University siku hizi mbona haivumi?

udsm 8 mzumbe 0.

mkuu kulinganisha udsm na mzumbe in GENERAL udsm lazima iwe higher ila ukilinganisha udsm na mzumbe kwa kuangalia baadhi ya course mzumbe anakuwa juu sana hasa ukizingatia mzumbe anachukua vichwa sana kwenye selection!!!
Nipo tayari kwa challenge......
 
division 3 ndio vichwa?
 
Hutakaa uelewe hata kama nikitumia karne nzima.
Kwa hiyo kama waliosoma UDSM ndio wako kwenye orodha ya Dr Slaa kama mafisadi na wamzumbe hawapo,Hichop ndio kigezo kuwa Mzumbe ni Bora zaidi ya UDSM!.
Kukusaidia wewe kama bado upo Chuo komaa umalize na ujitahidi kwa juhudi zako binafsi uwe competent( global) utafanikiwa sana.Jitahidi kujifunza zaidi ya unachojua ,sio kila unachojua ndicho kinachojulikana,na sio kila kinachojulikana utakijua

Wewe endelea kuamini hivyo unavyoamini lakini tuna wasomi wengi ambao ni mzigo mkubwa katika jamii na asilimia 90 ya hao wametoka UDSM(orodha ya mafisadi ya Dk Slaa). Tokea UDSM imekuepo imesaidia nini katika kufuta umaskin wa watanzania. Mambo siku hizi yanabadilika, hatuwezi kuendelea kuamini katika historia. UDSM kuna baadhi ya maeneo wako smart lakini vilevile baadhi ya maaeneo limebaki jina tu.
 
mzumbe ata zero hawana.

kaka mbona ueleweki kama hauna mawazo ya msingi si bora huwe unasoma ya wenzio ujifunze na wewe kuchangia....napata wasiwasit kuwa na wewe ni great thinker.
 
we ndio lishamba la washamba,nguruwe mkubwa wewe,hasira zako za kuishia kusoma diploma hapo mzumbe ndo unakuja kuzimalzia kwangu,hvi unafikiri nchi hi kuna msomi asie taman kuwa na gamba la udsm au unaongea 2 ili nawe uonekane umechangia..kibudu mkubwa wewe

What is UDSM mkuu?na sisi tuliograduate SUA tusemeje?acheni kuwa na mawazo mgando na kuona vyuo vyenu ndo bora mbona hakuna cha maana mnachobishania, mna(bore) kuleta thread za kulinganisha ubora wa vyuo halafu mnaishia kutukanana
 
mkuu kulinganisha udsm na mzumbe in GENERAL udsm lazima iwe higher ila ukilinganisha udsm na mzumbe kwa kuangalia baadhi ya course mzumbe anakuwa juu sana hasa ukizingatia mzumbe anachukua vichwa sana kwenye selection!!!
Nipo tayari kwa challenge......

Inawezekana ukawa sahihi kwenye hoja ya msingi; lakini hapo kwenye nyekundu nakupinga!!! vichwa kwa maana ya kuangalia matokeo ya form VI, au?!
 
division 3 ndio vichwa?

ni %ngapi ya dvn 3 kati ya wanafunzi wote wa mzumbe??

Hata hao dvn 3 unaosema ww wakitoka hapo mzumbe ni compitent kuliko hata wa udsm

ishu sio kujisifia jina la chuo bali elimu ambayo unayo kichwani kukuwezesha kuwa mshindani katika soka la ajira.
 
Inawezekana ukawa sahihi kwenye hoja ya msingi; lakini hapo kwenye nyekundu nakupinga!!! vichwa kwa maana ya kuangalia matokeo ya form VI, au?!

hapo umepigia mstari mkuu,nipe fact ya kupinga hilo.....
 
What is UDSM mkuu?na sisi tuliograduate SUA tusemeje?acheni kuwa na mawazo mgando na kuona vyuo vyenu ndo bora mbona hakuna cha maana mnachobishania, mna(bore) kuleta thread za kulinganisha ubora wa vyuo halafu mnaishia kutukanana

SUA hakuna siasa. Najivunia sana ku graduate SUA.
 
Unaweza kuonekana chizi ukibishana na huyu Senator.
 
dah...kaka mzee A.K.A kibabu inamaana UDSM inachukua hadi watu wa namna kama ya senetor? Basi kweli UD imekwisha,ili irudishe heshima inabidi ipunguze idadi ya vilaza kwa kuchukua waliofanya vizur tu kama ifanyavo mzumbe,ardhi na sua maana uwiano wa waliofaulu na idadi ya vilaza ni 5:1 respectively.
 
we ndio lishamba la washamba,nguruwe mkubwa wewe,hasira zako za kuishia kusoma diploma hapo mzumbe ndo unakuja kuzimalzia kwangu,hvi unafikiri nchi hi kuna msomi asie taman kuwa na gamba la udsm au unaongea 2 ili nawe uonekane umechangia..kibudu mkubwa wewe
Mie na diploma na nina cheo kizuri tu serikalinin kwa uzoefu wangu wa kazi,ninapokea posho za kutosha,niona usfiri wangu mzuri tu Kluger cc3000 pia mama nimempa RAV4 j ya 2004 na diploma yangu. WW bado mtoto mdogo sana unaeshobokea vyuo wakati watu tunaajiri watu POTENTIAL na sio VYUO.

Utakula maneno yako na gamba lako wakati kichwani huna kitu.
 
What is UDSM mkuu?na sisi tuliograduate SUA tusemeje?acheni kuwa na mawazo mgando na kuona vyuo vyenu ndo bora mbona hakuna cha maana mnachobishania, mna(bore) kuleta thread za kulinganisha ubora wa vyuo halafu mnaishia kutukanana
Bado mtoto huyo ndo kwanza hata chuo hajamaliza.
 
Wote wanaobshana n washenz 2,jf haipo kw ajl ya kulinganisha vyuo na mabshano ya vyuo cz kla m2 atafagilia chuo alchosoma,halafu hata km hvo vyuo vko juu mabshano yenu yana2saidia nn cc?
 
Na sisi tulio graduate New York University (NYU)..Tusemeje sasa.
 
ni %ngapi ya dvn 3 kati ya wanafunzi wote wa mzumbe??

Hata hao dvn 3 unaosema ww wakitoka hapo mzumbe ni compitent kuliko hata wa udsm

ishu sio kujisifia jina la chuo bali elimu ambayo unayo kichwani kukuwezesha kuwa mshindani katika soka la ajira.

sa mzumbe kuna elimu gani ya maana ambayo inaweza kuitikisa udsm,bwana mzumbe level yake ni vyuo kama tumaini,muccobs na saut,co level ya udsm hata kwa point moja.
 
Back
Top Bottom