Hivi Mzumbe University siku hizi mbona haivumi?

Jivunie ulichuambulia hapo chuoni, yaani namaanisha uwezo binafsi wa kutumia yale uliyojifunza kwa manufaa sio kwa sababu udsm inamaprofesa wengi basi udhani na knowledge itaingia yenyewe kichwani
 
nani mwenye hasira? Tatizo lako unatumia lugha mbaya.
''unaweza ukawa na haki, lakini njia unayoitumia kudai haki yako ikawa mbovu na ukaendelea kukosa haki'' ustaarabu kitu cha muhimu. Sio unatukana tukana tu chuo kizima kwa sifa aliyonayo mtu mmoja.
 
Acheni ujinga nyie....kama Senetor yupo hivyo...ni yeye. Na sio kufananisha wanafunzi wote wa UDSM kuwa wapo kama yeye.
 
Mtu mzima akikutwa yuko uchi huchuchumaa kuficha baadhi ya sehemu zisionekane. Umekamatwa upo uchi, chuchumaa.
 
akili hazikutoshi wewe!!. Umetoroka mirembe.

we mpuuzi baada ya kudisco udom kutwa nzima unatangatanga jf ku-post utumbo na mharo, usiokua na kichwa, we chizi, nakushauri utafute chuo kingine japo kupunguza huo uwenda-wazimu we gay.stupid stupid.
 
nashukuru kwa ushauri wako, japo haujafikirisha ubongo wakati wa kuandika.

Pole sana.
 
Very poor analysis. The writing itself speaks it all! Jitahidi kujenga hoja zenye mshiko wa kitaaluma iwapo kweli ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
 
Kilivumaje mkuu? labda kipindi hicho kinaitwa IDM ila si sasa Mvomero University hakisikiki sana
 
senetor ebu fanya ukalale usisahau kukojoa maana nasikia we ni fund bomba
 
Madogo acheni kuzingua tumeni na mjibu mambo yenye maana post kama hizi hazisaidii nch,we umekaa kujisifia upuuzi wakati viongoz wenu hawaudhurii hata msiba wa ndugu zetu migodoni kafa mchna moja wamejazana kwenye msiba huku wakijibu maswali kibao kama wao ndyo wauaji,tunalipa mikataba mibovu halafu walioingia hyo mikataba hawachukuliwi hatua'we kaa chini piga msuli malizia hyo socialogy,acha kufikiria mambo ya Mzumbe walinipga chini!kwan usipoangalia hapo kwenye mdigree hautofika utaishia kushangaa Nkurumah
 
Kuna taarifa kuwa Mzumbe wana-mpango wa kuondoa reseach kwenye program za masters,sijui ni kweli au lah,mwenye uhakika anijuze.
 
Kuna taarifa kuwa Mzumbe wana-mpango wa kuondoa reseach kwenye program za masters,sijui ni kweli au lah,mwenye uhakika anijuze.

ni kweli.
 
mgando mgando
Upupu upupu upupu
Matope matope matope
Wote mnapoteza nguvu zenu
Mnapoteza muda
Mnapoteza chakula tumbon mwenu,kujadiri ubora wa vyuo.shame on yu all.
Acheni haya matapishi hayana tija kwa taifa letu...
 
wangejua soko la ajira halina upendeleo wa chuo chochote,wangekaa kimya.
 
Kuna taarifa kuwa Mzumbe wana-mpango wa kuondoa reseach kwenye program za masters,sijui ni kweli au lah,mwenye uhakika anijuze.

nimeulizia kwenye department yao ya quality assurance nimeambiwa hakuna k2 kama hcho
 
nimefanya TP mara 2 na wanafunz wa UD ,walikuwa hawajui hata kuandaa scheme of work,Weng wao ni weupe vichwani.
 
productza sasa UD ni mbovu sana,wao wanajivunia uzee wa chuo chao wakat wanajua vichwa vyao vitupu,they are real insane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…