Hivi na hapo Vatican wakatoliki huwa wanakutana jmosi asubuhi kusali jumuiya?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Hapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
 
Ni utaratibu wa dunia nzima sema siku na muda wa kusali siyo wote jumamosi asubuhi, hata hapa nyumbani wapo wanasali jioni na siku tofauti na jumamosi . Tumsifu Yesu Kristo?
 
Tunaazimisha miaka 50 ya JNNKMwaka huu kwa kusoma waraka wa masskofu.
Unatakiwa uelewe "Kanisa moja takatifu la mitume"

We are uniform every where on this planet.
 
Jumuiya ndogo ndogo ndiyo msingi wa Kanisa Katoliki. Hivyo huna namna kijana. Sali Jumuiya na waumini wenzako walau kila wiki mara moja, ili kuiimarisha imani yako.

Na kama hutaki, hamia kwa waislam ili uwe una swali swala 5 kila siku.
 
Ni utaratibu wa dunia nzima sema siku na muda wa kusali siyo wote jumamosi asubuhi, hata hapa nyumbani wapo wanasali jioni na siku tofauti na jumamosi . Tumsifu Yesu Kristo?
Swali lipo very specific, anaetakiwa kujibu ni mtu alie majuu kwa kile alichokiona ama kukisikia. Hatutegemea majibu kutoka Kazulamimba hapa.
 
Hapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
Kule kuna funeral companies na mapadiri wao, suala la kuzikina sio issue, ukiwa na bima yako.....kunacho sumbua wakatoliki wa Tanzania ni umasikini elimu duni na raho za kukomoana.
 
Ndiyo mkuu.

Kanisa Katoliki msingi wake upo kwa mtu mmojammoja ambaye kupitia sala na majitoleo huunda familia.

Familia huunda Jumuiya. Jumuiya huunda Kigango. Vigango huunda Senta, Senta huunda Parokia. Parokia huunda Dekania.

Dekania huunda Jimbo. Majimbo huunda Metropolitan. Muendelezo huwa hivyohivyo mpaka kuunda Kanisa Katoliki.

Japo muda na utaratibu hutofautiana kati ya Kanisa Mahalia moja na nyingine; mwenendo huu, pamoja na liturjia, huwa hivyo duniani kote bila kujali tofauti za kijamii, kijiographia, rangi, jinsia, n.k.

Hilo ndiyo Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume.
 
Familia huunda Jumuiya. Jumuiya huunda Kigango. Kigango huunda senta, senta huunda Parokia. Parokia huunda dekania.

Dekania huunda jimbo. Majimbo huunda Metropolitan. Muendelezo huenda hivyohivyo mpaka kuunda Kanisa Katoliki.

Japo muda na utaratibu hutofautiana kati ya Kanisa mahalia tofauti; mwenendo huu, pamoja na liturjia, huwa hivyo duniani kote bila kujali tofauti za kijamii, kijiographia, rangi, jinsia, n.k.

Hilo ndiyo Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume.
Hivyo ndivyo unavyodhani au vipi bhana
 
Moja ya utumwa mkubwa kwa waafrika basi ni DINI.

Africans have been totally brainwashed and religious indoctrinated.
 
Jumuiya ni dunia nzima. Jumuiya ndiko tunakojuana Wakristo na maisha yetu sio Kanisani. Ndio maana Kanisani hawawezi kufanya lolote bila kupewa taarifa za muumini kutoka jumuiya.
 
Ndiyo mkuu.

Kanisa Katoliki msingi wake upo kwa mtu mmojammoja ambaye kupitia sala na majitoleo huunda familia.

Familia huunda Jumuiya. Jumuiya huunda Kigango. Vigango huunda Senta, Senta huunda Parokia. Parokia huunda Dekania.

Dekania huunda Jimbo. Majimbo huunda Metropolitan. Muendelezo huwa hivyohivyo mpaka kuunda Kanisa Katoliki.

Japo muda na utaratibu hutofautiana kati ya Kanisa Mahalia moja na nyingine; mwenendo huu, pamoja na liturjia, huwa hivyo duniani kote bila kujali tofauti za kijamii, kijiographia, rangi, jinsia, n.k.

Hilo ndiyo Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume.
Wapunguze michango kwenye hizo jumuiya
 
Back
Top Bottom