Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Sawa ila kama mtu Hana pesa asikilizwe na asihukumiwe.Kanisa hujengwa na waamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ila kama mtu Hana pesa asikilizwe na asihukumiwe.Kanisa hujengwa na waamini.
Mbona ulaya na uarabuni Sio masikini.Dini na umaskini dugu moja.
Mbona Ulaya na uarabuni ilipoanzia dini hakuna utumwa.Moja ya utumwa mkubwa kwa waafrika basi ni DINI.
Africans have been totally brainwashed and religious indoctrinated.
Jumuia ni mpango kazi wa kutafuta pesa. Sio wakatoliki tu hata walutheri wanahako kaujinga na sadaka za jumuia zikiwa chache wanaongea kwenye matangazo. Kiufupi pesa mbele unaweza usinde jumuia ila ukawa unatoa michango bado utazikwa na kanisa vizuri tuHapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
Michango gani Sasa hata kwa mwaka mzima ufikishi laki moja tangu uanze kuchanga,Wapunguze michango kwenye hizo jumuimi
Kanisa linahudumia mshiriki yeyeto bila kujali kipato.Sawa ila kama mtu Hana pesa asikilizwe na asihukumiwe.kani
Utaratibu huu wa Jumuiya tunao utumia sisi Umeanzishwa na AMECEA nadhani unaelewa AMECEA ni nani. Kama huelewi fuatilia mchakato wa Jubilei ya miaka 50Hapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
Utapataje huduma hali we si mshiriki.Hapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
Hii hoja Haina mashiko sana,pia kanisa bila pesa litaendaje, kumbuka kanisa uhudumia masikini,wahitaji na wakimbizi Dunia pote pesa inatakiwa kusomesha,kulisha, kusafirisha,kuinjilishaji nk.Jumuia ni mpango kazi wa kutafuta pesa. Sio wakatoliki tu hata walutheri wanahako kaujinga na sadaka za jumuia zikiwa chache wanaongea kwenye matangazo. Kiufupi pesa mbele unaweza usinde jumuia ila ukawa unatoa michango bado utazikwa na kanisa vizuri tu
Sijakataa sadaka ni muhimu ilasoma vizuri nilichoandika utanielewa. Na haya mambo usiyaangalie kwa zile huruma za kimungu ww angalia kama binadamu alafu jiulize tutafika kweliHii hoja Haina mashiko sana,pia kanisa bila pesa litaendaje, kumbuka kanisa uhudumia masikini,wahitaji na wakimbizi Dunia pote pesa inatakiwa kusomesha,kulisha, kusafirisha,kuinjilishaji nk.
Zamani walipanda punda au kutembea kwa miguu walikula ugenini,walilala kwa wenyeji wao.
Sasa ulimwengu ni tofaut na zamani.
Jumuiya ndogo ndogo ndiyo msingi wa Kanisa Katoliki. Hivyo huna namna kijana. Sali Jumuiya na waumini wenzako walau kila wiki mara moja, ili kuiimarisha imani yako.
Na kama hutaki, hamia kwa waislam ili uwe una swali swala 5 kila siku.
Acha uongo. Jndogo ndogo ni model ya KiafricaYanayofanyika parokia ya buza ,ndivyo yanavyofanyika Kahama,Sao Paulo, California, Canada, urusi, Finland, China, uarabuni,India , Vatican Lagos na Duniani pote
Sasa utaendaje kwa Mungu mikono mitupuSijakataa sadaka ni muhimu ilasoma vizuri nilichoandika utanielewa. Na haya mambo usiyaangalie kwa zile huruma za kimungu ww angalia kama binadamu alafu jiulize tutafika kweli
Umewahi fika huko nje au tandale tuAcha uongo. Jndogo ndogo ni model ya Kiafrica